dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,937
- 8,358
naamini hili swala linawakuta wengi sana.....
binafsi nimekuwa na relations nyingi toka nimeanza kuyajua haya mambo. ukiniambia nihesabu kiukwel hata kumi wanafika!! pengine na zaidi....
sasa tatizo hasa ambalo limenifanya mpaka niandike uzi huu ni kuwa katika hao girls ambao nimekuwa nao hamna niliyedumu nae zaid ya mwez sita. huwa hatuachani kwa ubaya....sometimes mm ndo nakuwa sababu but pia huwa naachwa (ingawa mara chache sana na huwa hainiumi kabisa).
naweza kumuona manzi nikavutiwa nae sana.....nikaaproach na akanipa chanc lkn after two to three months najikuta tu cjisikii naanza kutaman niwe single tena!!
kuna mmoja alishaniambia hutakuja kupata mpenzi permanent! ( cjui aliniroga!!!?)
sasa hili ni tatizo sana maana am now above 30 but ukiniambia leo kuna fursa ya faster na nije na mke, ntaikosa maana hamna mtu ambaye tunaweza funga ndoa ya haraka.
jamani naombeni siri ya kuwa kwenye relation muda mrefu like 4 to 5 years kama wengine wanavyodumu.
natanguliza shukrani kama hutaleta mzaha.
ahsante.