ushauri jinsi ya kudumu na girlfriend

ushauri jinsi ya kudumu na girlfriend

Me mwenzako mwaka wa 4 ss yani ww hata tumiezi hakuna!! huh!

kuwa mvumilivu mkuu halafu mkubali kwa dhati.

Via safarini kumfuata niliyedumu naye miaka 4 na hatujaonana muda sn,tangu mwaka jana mwezi wa 8

hongera mkuu...unastahir pongeZ
 
Me mwenzako mwaka wa 4 ss yani ww hata tumiezi hakuna!! huh!

kuwa mvumilivu mkuu halafu mkubali kwa dhati.

Via safarini kumfuata niliyedumu naye miaka 4 na hatujaonana muda sn,tangu mwaka jana mwezi wa 8
Miaka minne yote mnachezeana tu au uko kwenye ndoa tayari
 
pole mwaya... but from maelezo yako hujawah penda kwa dhati or just huna uvumilivu or wewe hujapata wa kukupenda vile you want to be treated. so learn kupenda kwa dhati don't give sex a priority. hyo miez 4-5 tengeneza urafiki kwanza..thn mengine yafuate

good idea mkuu....i think i have to get mo time before asking that thing mgegedo.... but yeye hatashtuka kuona siulizii ile raha?
 
Kama uliwahi kuachwa na mpenzi wa kwanza uliyempnda sana basi itakuwa ni athari zake! Pia angalia au ulizia tabia za baba ako akiwa ktk umri wako yawezekana umerithi. Yote yatibika usijali pia msogelee Mola atakusaidia
 
kumi tuu na una miaka 30! what a joke!


dah kwahiyo unamshauri aendelee na uasherati duh! God forbid, wadogo zetu wa sekondari watapona kweli ? `ila if you have slept with more than 8 different women your private parts are known as public parts no more private pumbu free zip nje theory
 
Pole mno kwasasa oa maana ile miaka ya urafiki huwa nikiuanzia miaka 25 and below that

Kingine tafuta demu aliye achika mzeee mmama huyo atakufunza namna kuishi na wanawake

Kingine labda ni kusupport kiukweli kuishi na mwanamke ina hitaji uvumilivu mkubwa mno na kujitoa akili, kama utakuwa unatumia reasoni g and logic effectively ka mwanajesh its soon lazima utaachana nae... The best thing ni tolerance tu...
 
Kuna wanawake wengine huna option zaidi ya kuachana nao
 
dah kwahiyo unamshauri aendelee na uasherati duh! God forbid, wadogo zetu wa sekondari watapona kweli ? `ila if you have slept with more than 8 different women your private parts are known as public parts no more private pumbu free zip nje theory

unakumbuka mfalme sulleiman alikuwa na wake na masuria wangapi?
 
2 pple should want th same thing,kuwa pamoja,mkiwa in th same line na mnacommunicate vizuri then all is good,..kutakuwa na fights n times haujisikii hata kumuona au kuongea nae ila ukiwa unajua kwamba nampenda na nataka kuwa nae, wote wawili mtajaribu kusolve matatizo yenu,ila mmoja akiachia kamba mtayumba balaa
 
Back
Top Bottom