Ushauri: Jini linataka limuoe

Jini kukimbia kwa sababu hiyo ni fact ambayo iko wazi mkuu!!... Fuatilia kuhusu hilo, jini kamwe huwa hashei!
nimemuuliza now hapa,amenijibu kuwa huwa wanafanya
 
Naona nyinyi mnaleta story za abunu wasi aliesema jini linatoka kwa bangi na kitimoto nani mwenzenu anaomba msaada nyinyi mnaleta usengerema au mpaka yakukuteni ndo mjue
 
Basi hamna jini hapo mkuu!!
paka huyu binti amenifata,nina uzoefu mzuri sana na haya madude mkuu,nimempeleka church,mda mwingine limepanda tukiwa wawili tu,ila now ,najua ninachokiongea bro
 

Ngoja kwanza tuone hii movie itaishaje.
 
Ngoja kwanza tuone hii movie itaishaje.
inaaana hujawahi ona au sikia mtu mwenye tatizo kama hilo??haya bhana,me naomba mungu huyu binti aweze kupona,anayopitia me nayafaham..
 
Hee,, alikutana nalo wapi hadi wakaanzisha uhusiano wa kimapenzi,,

Na kama nae amelipenda si aliambie lipeleke posa kwa wazazi afunge nalo ndoa.?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…