[emoji23][emoji23]umetishaNina wasiwasi na elimu yako[emoji23]
ndo maana mambo ya ndoa yanakwendea mrama jamaa yangu
We jamaa ni vipiSimple,
Mwambie akununulie kitabu kimojawapo kati ya hivi Bible(kama wewe mkristo) au msaafu(kama wewe ni Muislamu) | Na utakitunza vyema hicho kitabu na kila ukionapo/ ukitumiapo basi utakuwa ukimkumbuka vyema.
Nje ya hapo hakuna zawadi ya maana atakayokupatia.