Ushauri jamani

Ushauri jamani

LUIS EMAZ

Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
39
Reaction score
3
Jana nilikuwa nimekaa na demu wangu mara akaja chizi tusie mfahamu ajabu akataja majina yetu wote, naomba maoni yenu.
 
Mngemuuliza na yeye anaitwa nan il mfamiane zaid sasa wataka ushaur gan tena hapo wakat anawafaham?
 
Haipiti siku 40 nanyi (wewe na Demu wako) mtaanza kuokota makopo!
Ndivyo "Luninga Asilia" inavyonionesha .
Note : in order to avoid the matter take your time (specif) deal with me ! As if you care by the way .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom