Ushauri jamani

Ushauri jamani

borncool

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2013
Posts
226
Reaction score
49
Nina mpenzi wangu sasa katika pilika za hapa na pale c amejikuta nimempa mimba,sasa yeye anadai hayuko ready kubak nayo akidai hayuko tayari kuwa mama bado sasa nimejtahd kumshawishi asitishe lengo lake baya yaani asiitoe nitailea haelewi.wadau nimfanye nini huyu mtu coz dhambi itanihusu kabisa
 
una umri gani na ana umri gani?anasoma ama anafanya kazi?majibu hayo yatatusaidia kukupa ushauri
 
mwambie msimamo wako ulivyo kuhusu kuilea hiyo mimba na kamwe asifkirie kuitoa.akiitoa dhambi hiyo iwe juu yake na itakiwa mwisho wa mahusiano yenu.full stoop.hapo akiitoa hauhusiki.
 
Nina miaka mingi tu niko chuo na yy anafanya kaz
 
kwa sababu anakuona uko chuo anaona bado huna kipato,labda yeye anajijenga kwanza,ndio jibu sahihi,kumshauri azae hiyo ni akili yake sasa,kila la kheri!
 
sasa we dhambi itakuhusu vipi wakati mimba anataka kuitoa mwenyewe? we akitoa tu nawewe piga chini
 
kwa sababu anakuona uko chuo anaona bado huna kipato,labda yeye anajijenga kwanza,ndio jibu sahihi,kumshauri azae hiyo ni akili yake sasa,kila la kheri!

Mmmmh! Ila hata hicho kinaweza kikawa kinamtatza lakn daah!
 
Dogo acha ngono wakati unajua bado wewe ni mwanafunzi Tabia mbaya hiyo
 
Tafuta hekima ya kunena nae ukishindwa mtafute ndugu yake wa karibu sana (very immediate family) jitambulishe na uelezee mustakabali wenu ulivyo na jinsi binti alivyo na adhma ya kutoa mimba. Hii itakusaidia kuosha mikono yako hata kama kuna baya linaloweza kutokea huko mbele kama huyo binti ataendelea kushikilia msimamo wake wa kuchomoa kiumbe kabla ya wakati.
Ni hayo tu
 
Kaka hebu njoo kwetu Sumbawanga tuna teknolojia ya kuhamishia mizigo kama hiyo kwa maboifrendi kama wewe....

Nina mpenzi wangu sasa katika pilika za hapa na pale c amejikuta nimempa mimba,sasa yeye anadai hayuko ready kubak nayo akidai hayuko tayari kuwa mama bado sasa nimejtahd kumshawishi asitishe lengo lake baya yaani asiitoe nitailea haelewi.wadau nimfanye nini huyu mtu coz dhambi itanihusu kabisa
 
Nina mpenzi wangu sasa katika pilika za hapa na pale c amejikuta nimempa mimba,sasa yeye anadai hayuko ready kubak nayo akidai hayuko tayari kuwa mama bado sasa nimejtahd kumshawishi asitishe lengo lake baya yaani asiitoe nitailea haelewi.wadau nimfanye nini huyu mtu coz dhambi itanihusu kabisa

Nimefikiria kipuuzi tu, kama hakuwa tayari kuwa mama alibeba mimba ya nini?
Kinga zoooote hizo za kuzuia mimba ikiwepo mpaka emergence contraceptive pills ambazo hufanya kazi hata saa 24 baada ya tukio, hizo nazo alishindwa kutumia? Anatishia nyau huyo .....
 
Back
Top Bottom