Ushauri jamani

Sir.Chemi

Member
Mar 18, 2012
51
1
Mimi nina binti ambaye tunapendana ila tatizo ni kwamba dini zetu ni tofauti ambapo mi ni Rc huku yeye ni mpentecoste. Nimejaribu kumshawishi kubadili dini amekataa eti anawaogopa wazazi wake na nafsi yake pia.
Sasa jamani naombeni ushauri nifanyeje mimi kwa upande wangu siwezi kubadili dini kwa vile nifsi yangu pamoja na familia yangu hawatanielewa!.
 
Duh!
Pole Sana Mkuu...Hapo Kuna Kkwazo Vlvl Inaonekana Kla M1 Anasmamia Maamuz Na Itkad Zake,Jambo Ambalo Linawasumbua Sana Ktk Mahusiano Yenu
Kwa Mimi Hali Kama Hyo Ingentokea Ningetengeneza Mazngra Mapema Ya Kumshawish Mpenz Wangu Ya Kuwa Upande Wangu
Mwanzo 2 Wa Mahusiano ningemuulza Kama Angebadil Din Na Kuwa Upande Wangu Kabla Ha2jaingia Ktk Ndoa

Mshawish Kwa Kuongea Na Wazaz Wake na Ndugu Waliostaarbka
Ikshndkana JIVUE!
 
Tatizo lenu hamumjui mnayemuabudu! RC na Pentecost sio dini, ni madhehebu. Na yameibuka kutokana na maono ya watu fulani fulani.

Achaneni, kila mtu akatafute wa kanisani kwake! Mnajijua hamuwezi kuachia nira ya dini, why dating out of your league?
 
Ndio maana ndoa za bomani zikawepo kwa ajili ya watu kama nyie! Unless otherwise msipotezeane mda.
 
Acha uongo wewe, kama ungekuwa RC ungejua kwamba unaruhusiwa kufunga ndoa na mtu wa dini yoyote ile hata kama ni muslim na kila mtu akabaki na dini yake na akaendele kwenda kuabudu anapotaka, kama ni msikitini, pentecoste au jamatini, bila kikwazo chochote.
 
Mnaweza kufunga ndoa yenu katoliki bila wasi...... Na kila mmoja akabaki na dhehebu lake
 
Kwani mnavutana nini wewe huwezi kubadili kisa wazazi na yeye vile vile,ilobaki bora ujipange upya,tafuta mtakae endana au kabla ya mahusiano umulize kwanza dini yake...
 
alafu wee bana eti wee waona sawa kutobadili dini na kuwa na msimamo lakini demu anasema nae abaki na dini yake waomba ufanye nini...mwache abaki na dini yake. kama wewe dini ni kitu muhimu sana basi ungeliangalia hilo wakati unaanzisha mahusiano na mwanamke yeyote yule. heshimu imani za watu.
 
Duh!
Pole Sana Mkuu...Hapo Kuna Kkwazo Vlvl Inaonekana Kla M1 Anasmamia Maamuz Na Itkad Zake,Jambo Ambalo Linawasumbua Sana Ktk Mahusiano Yenu
Kwa Mimi Hali Kama Hyo Ingentokea Ningetengeneza Mazngra Mapema Ya Kumshawish Mpenz Wangu Ya Kuwa Upande Wangu
Mwanzo 2 Wa Mahusiano ningemuulza Kama Angebadil Din Na Kuwa Upande Wangu Kabla Ha2jaingia Ktk Ndoa

Mshawish Kwa Kuongea Na Wazaz Wake na Ndugu Waliostaarbka
Ikshndkana JIVUE!

Sawa nitajitahidi kufanya hivyo!
 
quote_icon.png
By Shark
Watu wanabadili kabila, itakua dini???

Kwanza wote ni Jesus followers, so no problem!!

Mkuu nimecheka sana hapo kwenye red

hivi siku hizi ata makabila tunaruhusiwa kubadili?
 
Mimi nina binti ambaye tunapendana ila tatizo ni kwamba dini zetu ni tofauti ambapo mi ni Rc huku yeye ni mpentecoste. Nimejaribu kumshawishi kubadili dini amekataa eti anawaogopa wazazi wake na nafsi yake pia.
Sasa jamani naombeni ushauri nifanyeje mimi kwa upande wangu siwezi kubadili dini kwa vile nifsi yangu pamoja na familia yangu hawatanielewa!.

Mkuu samahani,we una umri gani?Je unaufahamu wowote kuhusu Mungu na Imani?....alafu ni wapi mnapoweza kusoma imenadikwa mtu ataingia peponi kwa dhehebu lake?
Angalizo: Dini au dhehebu mtu halisishwi toka kwa wazazi,ndio maana Mungu katika hukumu yake kila mtu atasimama mwenyewe mbele zake wala si na familia yake,kama unavyokufa vile peke yako wala hatujui uendako wakati huo.
Ushauri: Amosi 3:3 "Je watu wawili waweza kutembea pamoja wasipokua wamepatana?"...ndoa nayo ni safari ya pamoja...tatizo wote mnaamini lakini hamkijui vizuri mnachokiamiani,Uyo binti kweli ni mpentecoste????
Mwisho:Kaeni chini wote someni maandiko vizuri,humo mtaujua ukweli na wote mtaamua kimoja,msikimbilie bomani maana bado kiimani mtakuja kuyumbishana sababa hamkupatana kimoja,pili mtakosa baraka za Muumba
God brought salvation and not Denomination.
 
Mkuu hiyo mbona simpo,akusindikize mkafunge ndoa Rc,then siku za ibada kila mtu akaabudu kanisani kwao.mimi ni morovian,wife rc,tulifunga ndoa rc na tuna watoto wawili.wote wamebatizwa morovian,and life goes on.
 
Watu wanabadili kabila, itakua dini???

Kwanza wote ni Jesus followers, so no problem!!

yo right. after all wote wakristo. mi nna rafiki yangu msabato ameolewa na mkatoliki and they are very very happy kwenye maisha yenu. wakae chini waamue nn wafanye.
 
Back
Top Bottom