Ushauri jamani

Mkuu hiyo mbona simpo,akusindikize mkafunge ndoa Rc,then siku za ibada kila mtu akaabudu kanisani kwao.mimi ni morovian,wife rc,tulifunga ndoa rc na tuna watoto wawili.wote wamebatizwa morovian,and life goes on.

Asante!, sasa vp kuhusu ubatizo wa watoto morovian ulikubali ww mwenyewe au ulilazimishwa na yy? na vp ndugu zako hawakulalamika au kukushangaa kweli?
 
Hata mimi nina uhusiano na mpentecoste, me mlutheri....but hoja kama hiyo haijaibuka kwa sababu wazazi wanaangalia zaidi upendo kati yetu, kwani MUNGU tunayemwabudu ni moja.
 
Mkuu samahani,we una umri gani?Je unaufahamu wowote kuhusu Mungu na Imani?....alafu ni wapi mnapoweza kusoma imenadikwa mtu ataingia peponi kwa dhehebu lake?
Angalizo: Dini au dhehebu mtu halisishwi toka kwa wazazi,ndio maana Mungu katika hukumu yake kila mtu atasimama mwenyewe mbele zake wala si na familia yake,kama unavyokufa vile peke yako wala hatujui uendako wakati huo.
Ushauri: Amosi 3:3 "Je watu wawili waweza kutembea pamoja wasipokua wamepatana?"...ndoa nayo ni safari ya pamoja...tatizo wote mnaamini lakini hamkijui vizuri mnachokiamiani,Uyo binti kweli ni mpentecoste????
Mwisho:Kaeni chini wote someni maandiko vizuri,humo mtaujua ukweli na wote mtaamua kimoja,msikimbilie bomani maana bado kiimani mtakuja kuyumbishana sababa hamkupatana kimoja,pili mtakosa baraka za Muumba
God brought salvation and not Denomination.

27yrs, mkuu kuhusu uelewa mzuri cna uhakika maana sijabobea ila huwa ninasikiliza tu mafunendisho kanisani na kusoma biblia mara moja moja!
 
Mimi nina binti ambaye tunapendana ila tatizo ni kwamba dini zetu ni tofauti ambapo mi ni Rc huku yeye ni mpentecoste. ushauri nifanyeje mimi kwa upande wangu siwezi kubadili dini kwa vile nifsi yangu pamoja na familia yangu hawatanielewa!.

Hapa hakuna tofauti ya DINI kuna tofauti ya madhehebu. Jipange upya wewe kwani hakuna tofauti ya dini, ningekuelewa iwapo ingekuwa Hindu na Christian la sivyo hakuna mapenzi hapo. Na kama hakuna mapenzi chapa lapa.

Lakini iwapo umefika bei funga ndoa kanisani kwake halafu endelea kusali katika kanisa lako
 
bado hamjawa tayar kufunga ndoa coz ndoa itakulazimu ww au huyo mpnzio kubadilisha imani uliyokuwa/aliyokuwa nayo awali mcpokuwa tayar kufanya hivyo hamjawa tayari kufunga ndoa,,,,,,thnk wide
 
27yrs, mkuu kuhusu uelewa mzuri cna uhakika maana sijabobea ila huwa ninasikiliza tu mafunendisho kanisani na kusoma biblia mara moja moja!

So You are above 18.so kiimani waweza amini dhehebu lolote bila wazazi kukuingilia mtu huamini mwenyewe pasipo kuamuliwa,sasa la maana tafuta ukweli kwenye biblia maana we ni Christian,kaa nae msikilize ufahamu wake kuhusu upande wake anao amini na yeye umpe ukweli kuhusu unavyoamini lakini kipima cha Madhehebu yenu yanavyoamini kiwe NENO,,,usisome neno siku mojamoja huko ndo kuna majibu yote,,Ukitaka ushauri zaidi ni PM.
 
Thanks! Ila cjaelewa maana ya neno 'PM'
 
Hapa hakuna tofauti ya DINI kuna tofauti ya madhehebu. Jipange upya wewe kwani hakuna tofauti ya dini, ningekuelewa iwapo ingekuwa Hindu na Christian la sivyo hakuna mapenzi hapo. Na kama hakuna mapenzi chapa lapa.

Lakini iwapo umefika bei funga ndoa kanisani kwake halafu endelea kusali katika kanisa lako

Samahani nlimaanisha dhehebu!
 
Mimi nina binti ambaye tunapendana ila tatizo ni kwamba dini zetu ni tofauti ambapo mi ni Rc huku yeye ni mpentecoste. Nimejaribu kumshawishi kubadili dini amekataa eti anawaogopa wazazi wake na nafsi yake pia.
Sasa jamani naombeni ushauri nifanyeje mimi kwa upande wangu siwezi kubadili dini kwa vile nifsi yangu pamoja na familia yangu hawatanielewa!.
Ukiona hivyo hujapenda, utaishi na dini yake au yeye mwenyewe?
 
Simple, wote ni watanzania, weusi, above 18 yrs, naamini mna akili timamu, hivyo ita wazee na ndugu wajue bila kujali wataafiki au la, ilimradi umewaambia, kisha nenda bomani kapate gamba. Haya madini (madhehebu) chana nayo kwanza, hiyo ni kasumba tu ya mambo tunayojifariji eti yatakuwepo, lakini hayajawahi kuwepo na ikitokea yakaja basi wote wanayoyaamini watakuwa wakwanza kuyaona, kuyaonja, kuyafaidi, eti imani! Isitoshe hekaya hizo za kudhania sio za asili yetu, wameleta wageni, Wazungu, Waarabu nk, na wote walikuwa na lengo la kihuni la kudumisha mila na desturi za kwao na kudharau yetu. We songa mbele na kimwana bila kuchelewa, kama mmeshapima, we mjaze mimba fasta, midomo yote itaisha hapo. Na baadae kila mmoja ataendelea kwa wakati wake kwenda kwenye dhehebu analotaka, ila kwa sisi wa kiasili tunasonga na mambo yetu. Nakutakia kila la heri
 
Asante!, sasa vp kuhusu ubatizo wa watoto morovian ulikubali ww mwenyewe au ulilazimishwa na yy? na vp ndugu zako hawakulalamika au kukushangaa kweli?

ndoa ni watu wawili wewe na mkeo, ndugu wanahusika nin? Kwani unaolea ndugu? Unapaswa utazzame unataka nini, na si ndugu wanataka nini, maisha ni yako na ndoa ni yako....
 
haswaa kama kweli we ni muumin wa RC unapaswa kujua hlo, wao wameruhusu kufunga ndoa kati ya muumin wao na mwengine yeyote ambaye ni mkristo pia, so ongea na gf wako, muone kama mnaweza kukubaliana kwa hlo..
Mnaweza kufunga ndoa yenu katoliki bila wasi...... Na kila mmoja akabaki na dhehebu lake
 
Jaman?Hamna shida ya ndoa hpo.....Ss wote mkafungie k.k.k.t ili kila mmoja awe mshindi!Mm mrutheri lkn nmekubaliana na bf wngu ntahamia SDA coz nampenda nactak kumpoteza....Najianda kwenda kunyoa mipanki huo
 
Jaman?Hamna shida ya
ndoa hpo.....Ss wote mkafungie k.k.k.t ili kila mmoja awe mshindi!Mm
mrutheri lkn nmekubaliana na bf wngu ntahamia SDA coz nampenda nactak
kumpoteza....Najianda kwenda kunyoa mipanki huo

au waslim kabisa mkuu,ili iwe ngoma droo..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom