Ushauri jamani unahitajika hapa

TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,791
2,078
Mara ya kwanza nakuja kuuliza nipate uzoefu wa wadau! Nina mpenzi wangu na huwa tunafanya mapenzi mara kwa mara. Yaani haipiti mwezi au miezi miwili bila kufanya. Lakini hapa Juzi kati kama kawaida yetu japo kimepita kipindi kirefu kidogo tangu tukutane nimeshangaa amebadili kilio au tuseme ule muhamaniko anaokuwa nao wakati tunafanya mapenzi. Huwa nimezoea "dia dia ahh! ooh! Asante,Am sorry Am sorry ooh dia dia! endelea hapo hapo! Am sorry Am sorry". Hayo ndio maneno huwa nimeyazoea tukiwa tunakong'oli. Lakini Juzi nimesikia hakuna dia dia ila Mpenzi wangu mara ikikolea anasema nsamehe mume wangu nanilipokuwa naendelea kukong'oli kunawakati akasema ooh Mpenzi wangu umepata hizi nguvu za ziada ooh Mume wangu na kuendelea. Nnachojiuliza maneno mume na mpenzi hajawahi kunitamkia wakati tunasex huwa ni dia tu. Sasa hayo katoa wapi?. Na pili kusema mbona leo nna nguvu za ziada nimetoa wapi wakati tunasex anatamka hayo maneno Yamenistua sana, ndio maana nataka kupata ushauri je ni kawaida ama kuna mtu mwingine wana mahusiano ambao wameahidiana kuoana kiasi kwamba wanaitana mume na mke?. Na je huenda labda huyo anayemuita mume au mpenzi wake hana nguvu kama zangu ndio mana akajisahau akasema nimetoa wapi nguvu za ziada?.
 
Mmh... Pengine kapata kitchen party mitaa ya kati ndo maana kabadilika style yake,usichukulie kila kitu negative ndugu...ungemuuliza tu kimahaba na angekujibu.
 
Kinacho sikitisha ameanza gafla bin vuu hata tabia kubadilika huwa zinaanza taratibu jamani
 
Hiyo ni dalili kuwa huko peke yako bro!!!!kava huvai ile kitu basi anza kuchukua hatua
 
Ndugu mapenzi hayataki akili nyingi kuyatafakari coz utajitia walakini moyoni kama unahisi kamapata mshefa mwingine utajua tu achana na hizo negative interpretation utajikuta unacomplicate kila kitu na hata kukupelekea kupoteza nyege zako zinazokufanya uinjoyi love na mwenzio.NILIKUWA NA UGONJWA KAMA WAKO ILA NIMESHAUZIKA CHINI COZ NAAMINI KAMA NAFANYIWA USHENZI NA GIRL WANGU NTAKUJA KUONA TU NDO HAPO MAAMUZI MAGUMU NTAFANYA NA SIO KUENDESHWA NA HISIA NA AKILI.
 
Mhhh, hapo kuna uwalakini sababu kitendo cha kusema hizi nguvu umeto wapi inamaana amekutana na pulling tofauti na ya kawaida, kama amezoea mark 2 akikutana na fuso lazima ashangae, ila kaa naye chini umuulize kwa utaratibu
 
mfano;- kama mnafanya kifo cha mende kila siku, siku akikwambia mfanye chuma mboga utajiuliza kajifunzia wapi?

Kwanza ule utamu unapokuja flava zipo tofauti, inaelekea siku hiyo umejituma kuliko siju zingine zote.... Au umemgusa kuliko siku zote? Au ndo umeipata ile g spot kiuhakika?

Jiamini, muamini
 
Mara ya kwanza nakuja kuuliza nipate uzoefu wa wadau! Nina mpenzi wangu na huwa tunafanya mapenzi mara kwa mara. Yaani haipiti mwezi au miezi miwili bila kufanya. Lakini hapa Juzi kati kama kawaida yetu japo kimepita kipindi kirefu kidogo tangu tukutane nimeshangaa amebadili kilio au tuseme ule muhamaniko anaokuwa nao wakati tunafanya mapenzi. Huwa nimezoea "dia dia ahh! ooh! Asante,Am sorry Am sorry ooh dia dia! endelea hapo hapo! Am sorry Am sorry". Hayo ndio maneno huwa nimeyazoea tukiwa tunakong'oli. Lakini Juzi nimesikia hakuna dia dia ila Mpenzi wangu mara ikikolea anasema nsamehe mume wangu nanilipokuwa naendelea kukong'oli kunawakati akasema ooh Mpenzi wangu umepata hizi nguvu za ziada ooh Mume wangu na kuendelea. Nnachojiuliza maneno mume na mpenzi hajawahi kunitamkia wakati tunasex huwa ni dia tu. Sasa hayo katoa wapi?. Na pili kusema mbona leo nna nguvu za ziada nimetoa wapi wakati tunasex anatamka hayo maneno Yamenistua sana, ndio maana nataka kupata ushauri je ni kawaida ama kuna mtu mwingine wana mahusiano ambao wameahidiana kuoana kiasi kwamba wanaitana mume na mke?. Na je huenda labda huyo anayemuita mume au mpenzi wake hana nguvu kama zangu ndio mana akajisahau akasema nimetoa wapi nguvu za ziada?.

Usiwe na shaka inaonyesha anakupandisha daraja na ndio akakupa umume badala ya udia tu. Hilo la nguvu si unaona mlio unabadilika? Bila shaka nguvu zinazidi siku hizi.
 
Wewe hupendi mabadiliko....same thing over and over again its boring and very predictable. Hiyo ya nguvu maybe ametaka kukupagawisha.
 
mbona hayo ni kawaida,siku utaitwa dear,baadae utaitwa mume.hapo kama umepandishwa daraja.kwani mume ana daraja lake,ni maneno tu kwake utamu umekolea
 
Jamani lazima kuwe na mabadiliko kwenye suala zima la mapenzi, mtu lazima uwe mbunifu ili penzi liboreke..Sasa wewe unataka kila siku mambo yale yale... Ukibadilishiwa kidogo wasiwasi unakupata...Punguza presha kaka..!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom