Ushauri jamani bandugu

Ushauri jamani bandugu

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2018
Posts
2,490
Reaction score
3,592
Habari wana JF. Kuna jamaa yangu amemaliza diploma ya uhasibu ila unaenda mwaka wa tano sasa hajapata mchongo wowote wa kazi.

Yeye binafsi anahisi huko kijijini kwao Tanga huenda machizi wakawa wamemroga hasitoboe.

Binafsi nilifikiria nimshauri aende kwa mganga akasafishe nyota ila jamaa hataki kusikia habari za waganga.

Hapo ndipo nilipopata wazo la kumshauri aende kwa Mwamposa _"Bulldozer" akakanyage mafuta apate kufunguliwa vifungo. Au wadau mnasemaje? Au mchizi afanyaje ili aweze toboa maana game imekuwa ngumu?

Asanteni!
 
Si lazima afanye kazi aliyosomea,anaweza kujitolea hata kufundisha kwenye shule za kata huku akiwa anatafuta kazi zingine.
 
Aanze hata kuuuza sambusa mtaji wa 50000 unatosha
 
Afanye bila kulipwa ili aweze kutengeneza network,kupitia huko anaweza akawa anaanzisha tuition center yake huku maisha yakiwa yanasogea
 
Kashaomba mpk nafasi ya kujitolea mara kibao ,sehem kibao mpk monchwari kakosa .
Ajaribu upande wa sales awe analipwa kwa kamisheni..pale anapokuwa anapeleka wateja.Makampuni mengi yanahitaji wateja..kwa hiyo yeye akiwa anawapelekea atakuwa analipwa kutokana na makubaliano.
 
Huko alipo hamna mashamba? Hata ajaribu kilimo Au atafute masoko (hata udalali wa kilimo?)

Fursa Mbona Zipo nyingi tu hata kama yupo kwenye handaki

Kama huko kijijini, hawezi kufungua hata kibanda cha simu akawa anapigishia watu, kusajili line, uwakala, kuweka nyimbo kwenye simu, kutuma na kusoma msg kwa wateja ambao hawajui kusoma

Basi akishindwa vyote aende tanga mjini, viwanda vingi tu hawezi kosa ajira yoyote cha msingi asikatae kazi ilimradi iwe ya halali tu!
 
Kwani baba yke alimlipia ada akasome ili aje kufungua kibanda cha sim,una comment km umelewa banana bhana..!!
 
Sio yeye tu anaehangaika uku mtaani bali kuna rundo la wahangaikaji na wahanga wa ajira .
 
Kwani baba yke alimlipia ada akasome ili aje kufungua kibanda cha sim,una comment km umelewa banana bhana..!!
Wewe inaonekana unataka upate tu kuchangamsha jukwaa kwa jibu hili ulilolitoa na uhakika humu unataka likes tu sababu unapewa ushauri unajibu kunya na ni ushauri mzuri tu sasa decade hii mtu una diploma watu kibao ambao Hawana kazi wana degree na masters
Ushauri wangu kwa jamaa yako atafute hela akasome tena kwa diploma hiyo ataishia kusema anarogwa kama anataka kazi ya kiyoyozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwambie slime tuuu hakna jinsi
Habari wana JF. Kuna jamaa yangu amemaliza diploma ya uhasibu ila unaenda mwaka wa tano sasa hajapata mchongo wowote wa kazi.

Yeye binafsi anahisi huko kijijini kwao Tanga huenda machizi wakawa wamemroga hasitoboe.

Binafsi nilifikiria nimshauri aende kwa mganga akasafishe nyota ila jamaa hataki kusikia habari za waganga.

Hapo ndipo nilipopata wazo la kumshauri aende kwa Mwamposa _"Bulldozer" akakanyage mafuta apate kufunguliwa vifungo. Au wadau mnasemaje? Au mchizi afanyaje ili aweze toboa maana game imekuwa ngumu?

Asanteni!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom