Mnyika alimwita JK ni dhaifu
Na mimi nakuita wewe ni dhaifu.
1. Umepigwa chini bila sababu yeyote kisha demu kahamia kwa mwarabu, mwarabu kampiga chini halafu anarudi kwako kukwambia bado anakupenda na wewe pia unakiri bado unampenda. Are you a real man? Sielewi elewi hapa.... wanaume tunapotea aisee.
Hivi wewe haujui huu msemo unamaanisha nini "MTEMA MATE HAONI KINYAA BALI ANAYETEMEWA MATE".
2. Hebu niambie, Je, unampenda Clara? Ikiwa ni NDIO unampenda, sasa unataka ushauri gani? Unataka uoe wote wawili. Acha Ubwege dogo angalia maisha na achana na viruka njia.
Anyway, acha niishie hapa maana naweza kusema maneno ya ovyo.
Libenna
kuwa na msimamo! mambo ya bado unampenda yatakufanya ukose yote. tulia na huyo m-clara wako, huyo x mshauri apeleke tangazo jf connect
Penda pendwa, una ukakika gani hatakufanya spea tair tena akipata jamaa mwingine. Tulia na Clara wako mkuu. Kama anakuheshim na kukujali usigeuge nyuma.
Jasiri haachi asili....
Ukimrudia huyo kicheche usije hapa tena
Umemaliza kila kitu mkuu kama mtoa maada niwa ukelewa atakuwa amekuelewa.Mnyika alimwita JK ni dhaifu
Na mimi nakuita wewe ni dhaifu.
1. Umepigwa chini bila sababu yeyote kisha demu kahamia kwa mwarabu, mwarabu kampiga chini halafu anarudi kwako kukwambia bado anakupenda na wewe pia unakiri bado unampenda. Are you a real man? Sielewi elewi hapa.... wanaume tunapotea aisee.
Hivi wewe haujui huu msemo unamaanisha nini "MTEMA MATE HAONI KINYAA BALI ANAYETEMEWA MATE".
2. Hebu niambie, Je, unampenda Clara? Ikiwa ni NDIO unampenda, sasa unataka ushauri gani? Unataka uoe wote wawili. Acha Ubwege dogo angalia maisha na achana na viruka njia.
Anyway, acha niishie hapa maana naweza kusema maneno ya ovyo.
Libenna
nashukuruni sana kwa ushauri wana JF asanteni mubarikiwe
huyu jamaa chenga hawezi fanya maamuzi ya maanakwa hyo umeamuaje?