mkuu nakushauri nenda kwa xperia z na hizi ni sababu zangu.
1. Htc wamecopy vitu vingi vya nokia mfano mic zinazopunguza noise wakati wa kuongea, technology ya kusave battery. So far kesi hizo mbili kashindwa, kesi zinaendelea maybe vyengine atashindwa. Hii ina maanisha nini? Ina maanisha htc one zote zitakuja bila boom sound feature waliyoitangaza sana maana wamecopy.
2. Poor build quality, angalia picha ya juu inayoonyesha htc kakopy angalia dashboard ya htc ilivyo rough hio ni flagship yao
3. Haiwezi kutengenezwa na fundi wa kawaida.
Ifix-it ni kampuni ambayo kila simu mpya inapotoka wanaifungua na kuwaambia watu uwezekano wa kuitengeneza. Htc one imevunja record ya kutotengenezeka ni ngumu kuitengeneza kuliko hata iphone's na ipad's imescore 1/10. Jamaa walisema even kuchange battery kunaweza haribu simu kama sio mtaalam. Kama ni mtunzaji na unajua hutaharibu simu ignore hapa
Zaidi soma hapa mwenyewe
HTC One the first smartphone to score 1/10 on repairability from iFixit
4. Lack of updates.
Hii factor inaweza isifanye kaz kibongobongo lakini ni muhimu. Htc ni wabovu kusuport simu zao. Flagship yao ya mwaka jana iliyokua inapambana na galaxy s3 inayoitwa htc one x haitakua updated kwenda key lime pie. Key lime pie maybe itatoka mwisho wa mwaka huu imagine one x imetoka 2012 tena flagship inakosa update ya 2013 just one yr. Hii ina maana possible na hii one ikakosa update ya mwakan.
Xperia z ni waterproof so wana advantage zaidi ya one.
Ushauri wangu usinunue simu bila warrant maana xperia z yenyewe ina tatizo la sudden death kama simu nyengine za android unalala unaamka simu imekufa ukiwa huna warranty itakula kwako.