Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 9,328
- 13,774
Wakuu,
Hivi juzi kati nimempata mchumba though hatujatambulishana kwa wazazi tumekuwa tukiibana kila mtu giza litakapomfikia analala kwa mwenzie.
Ngoja nije kwenye mada nimekuwa nikila kwa mama ntilie mda mrefu nikaamua ninunue bidhaa za vyakula ndani ili angalau akija siku ya Ijumaa aweze kupika na kweli alivyoona kila kitu kipo huyu binti alianza kupika tangu wiki iliyopita alipika wali umeshikana naona aliweka maji mengi sana nyama alizipika kwa mda mrefu imagine hata vipande vya nyama vyenyewe vilikua vinagawanyika kama nyama iliyosagwa.
Kwa kweli niliona ni bahati mbaya japo ilikua Long dinner kwangu lakini weekend hii ndo nimegundua kuwa kumbe hajui kupika totally alirudia kupika wali vile vile kwenye kula navunga nilivunga tu kuonyesha sijagundua chochote.
Leo kabla hajaondoka amepika ugali yaani unanata kwenye mkono haujaiva kabisa. Nishaurini JamiiForums nataka nimpige chini huu ni mzigo kupika wali hata mimi sishindwi but huyu binti ambaye kamaliza chuo hivi karibuni inaonekana malezi yamemuharibu.