Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
- Thread starter
- #41
bora uyapotezeeSafiiii....unaweza kujikuta umejichosha kwa mambo yasiyokuhusu.
bora wewe ambaye unao huo muda wa kusikiliza hayo mambo.... Hivi habari ambayo haina maana kwako yawezaje kukusaidia chochote? utasikiza wangapi?Naweza mruhusu anientertain kwa story yake, ambayo in a way yaweza nisaidia kunidistrupt kutoka kwenye mawazo yangu 101 ambayo nayaniumiza kichwa at the moment.
Duh! dogo mbona umeongea kwa sauti kubwa hivyo?
bora wewe ambaye unao huo muda wa kusikiliza hayo mambo.... Hivi habari ambayo haina maana kwako yawezaje kukusaidia chochote? utasikiza wangapi?
tena nimekuelewa vizuri sana yaani... hahahahahaha ogopa sana watu haoila si umesoma?
Hii sio habari na pia haimuhusu mtu yoyote yule. so ina yaweza kuwa na maana kutokana na ambavyo msomaji atavyoisoma na kuielewa...Huo ni ushauri tu... Mfano leo aje mtu kwa kukurupuka kwake aanze kusema mambo mengi kukuhusu wewe Kaunga na kimsingi mambo hayo mi naona hayanihusu, unadhani hata nitapoteza muda wangu kumsikiza? tena naweza hata kumtoa nduki na umbeya wakeJust like now, najibu hii habari ambayo haina maana kwangu; and l guess you are doing the same. Muda umeupata wapi wa 1st kuingia kwenye blog ya mtu na kucopy na kuipaste huku MMU.
I am just lazing out and enjoying challenging you, while watching "the wire" after eating uporo wa pilau. Simple life! LOL
Hii sio habari na pia haimuhusu mtu yoyote yule. so ina yaweza kuwa na maana kutokana na ambavyo msomaji atavyoisoma na kuielewa...Huo ni ushauri tu... Mfano leo aje mtu kwa kukurupuka kwake aanze kusema mambo mengi kukuhusu wewe Kaunga na kimsingi mambo hayo mi naona hayanihusu, unadhani hata nitapoteza muda wangu kumsikiza? tena naweza hata kumtoa nduki na umbeya wake
hahahahahahahaha hii inakuwa applied hata kitaani. sio JF tu. na kuchangia kwangu pengine ni kwa kukurupua huyo mleta habariNikija na story, yenye heading; "Boss wangu kafumaniwa" hautasoma wala kuchangia.
Usinifanye niwashe laptop nifuatilie michango yako yote ya nyuma.
Hujiulizi kwanini watu wengi wamekuuliza yamekupata nini? The fact kwamba umeileta hiyo post inamaanisha in a way unaentertain umbea ndio maana umetafuta remedy. Wasio na mambo hayo hawajui hata existance ya mambo Kama hayo. I tell you, hakuna mtu anadare hata kuja kuniambia mtu Fulani ananisema; so to me sioni big issue ya umbea unaousemea as in my world ni non existance.
Ukija JF ni another case.
hahahahah Kamanda wanko ameamua kutoa salutiAyaaa ni kamanda wangu mwenye jina la ukweli aisee, "Tobias Emir Mitteco Andengenye" hahah....a.k.a. jembe!!!!
Fanya juhudi za makusudi kumkimbia yoyote anayekuletea habari za mtu mwingine, tafuta marafiki wanaozungumzia maendeleo, hata ukiwa peke yako soma habari zinazokupa mtazamo na fikra mpya, epuka habari za maisha ya watu zisizo na tija katika maisha yako..
Twin karibu tena....... pole kwa yaliyotokea.
hahahahah Kamanda wanko ameamua kutoa saluti