Ushauri huu unawafaa watu wote.

Ushauri huu unawafaa watu wote.

Mtu akitenda dhambi kwa muda mrefu wa maixa yake (kuua, kuzini, uchawi, ulevi, etc) arafu ghafra akabadilika na kuanza kufanya ibada (khofu juu ya mola wake) ujue uhai wake uko ukingoni (anakaribia kufa)

Dah! Ina maana kiswahili ni lugha ngumu?
 
Fanya juhudi za makusudi kumkimbia yoyote anayekuletea habari za mtu mwingine, tafuta marafiki wanaozungumzia maendeleo, hata ukiwa peke yako soma habari zinazokupa mtazamo na fikra mpya, epuka habari za maisha ya watu zisizo na tija katika maisha yako..

Umenena vyema Nicas, watu wengi wanaishi kwa matukio. Wengine wamekuwa watumwa wa mawazo ya wengine kiasi kwamba hawajiamini kabisa. Fikiria mtu amefaulu vizuri kidato cha sita na anataka kwenda chuo kikuu lakini hajui akasome fani gani wala hajui anataka maishani afanye nini baada ya kuhitimu. Wengi wa aina hii wamenijia na ushauri wa awali huwa nawataka wafanye homework kidogo kujua nini wanapenda/wanatamani kuwa maishani na wale wanaorudi huwa nawashauri kwa kuanzia hapo. Lakini wengi hawarudi. Kwa wale niliowashauri na wakaleta mrejesho wamesimama vizuri katika maisha.
 
fanya juhudi za makusudi kumkimbia yoyote anayekuletea habari za mtu mwingine, tafuta marafiki wanaozungumzia maendeleo, hata ukiwa peke yako soma habari zinazokupa mtazamo na fikra mpya, epuka habari za maisha ya watu zisizo na tija katika maisha yako..
dalaliiiii nimekumis sana kuhusu kutafuta marafiki sina kabisa zaidi ya members wa jf na twini wangu FP baasi na zaidi ya hapo huku ndipo nnapopata khabari za maendeleo na kutatua mambo yangu .viva jf viva dalaliiii nakuomba ukimwona twin wangu FP umsalimie sana
 
Last edited by a moderator:

Ina maana yale mafuta umeyatosa? Umekuja kivingine?
 
Last edited by a moderator:
shemeji bana!
ahahhahahha sijawahi kujuta kuwa mke wenu i see!
SANTEEEEE!
 
Anayekwambia habari kuhusu wengine hataacha kuwaambia wengine kuhusu weweyapo mambo mengi sana ambayo tunaweza kuwa serious nayo kuliko kupoteza muda mwingi kusikiza habari za watu...
Nani kakwambia habari zangu kusemwa inategemea tu kumsikiliza mbea? Ukilala ndani utasemwa, ukitembea utasemwa, ukifanya kazi utasemwa. Siwezi zuia kusemwa, lkn nini kinachoweza niaffect na kusemwa is within my or ones power.

Halafu hujanipa mfano wa jambo lililo la msingi.
BTW kuna watu wataargue na weshasema wewe mwenyewe ukawashushua kuwa kushinda/ingia MMU ni umbea na kutokuwa na kazi ya kufanya. Let's be honest for once, what do we look for when we log in na kuchagua MMU?
 
ahsante Nicas Mtei your really a gentleman sijajuta na sitojuta kukufahamu.
Principal ni hii-
Mwanamke akikuletea habari za mwanaume jua anamtaka/ameliwa miahadi kibao jamaa kala kona/ametongozwa.
Mwanamke akikuletea habari za mwanamke mwenzake jua wanashare mwanaume/anamzunguka mwenzake .
Mwanaume akikuletea habari za mwanamke jua anamtongoza hapa anapeleleza kijanja/amemla.
Mwanaume akikuletea habari za mwanaume mwenzio jua wanashare au ni bwabwa
na mwisho kabisa wakimbie wote maana na wewe watazipeleka za kwako
Fanya juhudi za makusudi kumkimbia yoyote anayekuletea habari za mtu mwingine, tafuta marafiki wanaozungumzia maendeleo, hata ukiwa peke yako soma habari zinazokupa mtazamo na fikra mpya, epuka habari za maisha ya watu zisizo na tija katika maisha yako..
 
Last edited by a moderator:
avatar72707_19.gif

Saluti hii ikufikie wewe na Paul Mashauri popote alipo!!!
 
Fanya juhudi za makusudi kumkimbia yoyote anayekuletea habari za mtu mwingine, tafuta marafiki wanaozungumzia maendeleo, hata ukiwa peke yako soma habari zinazokupa mtazamo na fikra mpya, epuka habari za maisha ya watu zisizo na tija katika maisha yako..

Safiiii....unaweza kujikuta umejichosha kwa mambo yasiyokuhusu.
 
Nani kakwambia habari zangu kusemwa inategemea tu kumsikiliza mbea? Ukilala ndani utasemwa, ukitembea utasemwa, ukifanya kazi utasemwa. Siwezi zuia kusemwa, lkn nini kinachoweza niaffect na kusemwa is within my or ones power.

Halafu hujanipa mfano wa jambo lililo la msingi.
BTW kuna watu wataargue na weshasema wewe mwenyewe ukawashushua kuwa kushinda/ingia MMU ni umbea na kutokuwa na kazi ya kufanya. Let's be honest for once, what do we look for when we log in na kuchagua MMU?
Kuna mtu anaweza kuja kukuambia mambo ambayo kimsingi unakuta hayakuhusu wala hayana msaada wowote kwako. Je utapoteza mda wako kuendelea kumsikiza mtu huyo?
 
ahsante Nicas Mtei your really a gentleman sijajuta na sitojuta kukufahamu.
Principal ni hii-
Mwanamke akikuletea habari za mwanaume jua anamtaka/ameliwa miahadi kibao jamaa kala kona/ametongozwa.
Mwanamke akikuletea habari za mwanamke mwenzake jua wanashare mwanaume/anamzunguka mwenzake .
Mwanaume akikuletea habari za mwanamke jua anamtongoza hapa anapeleleza kijanja/amemla.
Mwanaume akikuletea habari za mwanaume mwenzio jua wanashare au ni bwabwa
na mwisho kabisa wakimbie wote maana na wewe watazipeleka za kwako
Duh! dogo mbona umeongea kwa sauti kubwa hivyo?
 
Kuna mtu anaweza kuja kukuambia mambo ambayo kimsingi unakuta hayakuhusu wala hayana msaada wowote kwako. Je utapoteza mda wako kuendelea kumsikiza mtu huyo?

Naweza mruhusu anientertain kwa story yake, ambayo in a way yaweza nisaidia kunidistrupt kutoka kwenye mawazo yangu 101 ambayo nayaniumiza kichwa at the moment.
 
Back
Top Bottom