Wake hajazaliwa BTW asiwe mchaguzi sana pia apunguze kinyaaNina Rafiki Yangu Kipenzi Sana Ambaye Tumetoka Nae Mbali Sana Huyu Jamaa Huwa Analia Na Kuumia Sana Kwa Tatizo Kubwa Moja Anadai Kuwa Hapedwi Na Wasichana Lakini Hajui Ni Kwa Nini Kwa Sababu Jamaa Ni Msafi Sana, Anatupia Kama Kawaida Na pia Ni Handsome Kiasi Chake ila kinachomsibu Ni Kuwa Jamaa Ni Bigwa wa Kukataliwa Na wasichana siku zote kila akirusha voko anachomolewa Ingawa ni mpole na hana shobo wala masifa ya kijinga, Me nashidwa hata cha kumshauri Tafadhalini wakuu nisaidieni ushauri juu ya huyu jamaa angu nini afanye ili kuondokana na tatzo hilo hasa ushauri wa kisaikolojia.
Haaaaaahaa acha masihara,
...khaaaa!sasa unataka sie tumshauri ili akapendwe na dada wa nani wakati hata wewe mshkaji humtaki kwa dadaako?Haaaaaahaa acha masihara,
Haaaaahaaa unananchekesha san aiseee,Inatagemea chief... Nmesoma thread yake anaonekana hana misifa ya kijinga... Sasa ajaribu kuwa na hayo makitu
Iyo itamsaidi kuongeza nin mkuu,Mwambie aoge maji yaliyooshewa mchele wiki moja kila siku usiku.
Mpe direction za ndele zilipo,Au atafute tu ndele manake hakuna jinsi sasa
Kwangu akuje kwa pmMpe direction za ndele zilipo,
Haaahaa si kwamba simtaki mkuu ila haipaswi kuwa hvyo kwangu pia dada zangu ni wakubwa sana kwake,...khaaaa!sasa unataka sie tumshauri ili akapendwe na dada wa nani wakati hata wewe mshkaji humtaki kwa dadaako?
....hahahahahaha...acha kujitetea bhana,yani kwa misifa ulommwagia hata hao dada zako watamuelewa tu!Haaahaa si kwamba simtaki mkuu ila haipaswi kuwa hvyo kwangu pia dada zangu ni wakubwa sana kwake,
HahahahaaaaaaaaMpe dadaako!
Teh teh teh sheikh huenda hata wao hawamtaki bana me siwezi jua,....hahahahahaha...acha kujitetea bhana,yani kwa misifa ulommwagia hata hao dada zako watamuelewa tu!
...si wanasema umri ni tarakimu tu sheikh!?
Kwan mapadri ndo hawapendwi, mpe ushauri achana na habari za nyota,
Dada poa ni matatizo mkuu,Acha kutupima akili manawake wamejaa kila sehemu ndyo akataliwe hata dada poa wamechomoa?hapana si kweli
....hahahahahaha..shemeji,"mboni ichafukapo jicho huwa mashakani...,ni mbali we ulipo na sijui u-hali gani!....."Hahahahaaaaaaaa
Hahahaaa....Au atafute tu ndele manake hakuna jinsi sasa
Sijajua kuhusu ilo coz sisi ni boyz hvy mnapoongea kuna distance mnapeana hvy ni vigumu kuckia kama anatoa harufu ila mswaki anapga kama kawaida,Je anapiga mswaki na hana harufu mbaya mdomon