Wakifukuzwa uniiteeeeee.Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na lidhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.
Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya kuliko kuwa na watu wasio na nidhamu ndani ya chama. Ifahamike kuwa chama hiki ni mali ya wanachama na si watu wachache. Kuna watu tumepoteza kazi serikalini kwa sababu ya kukipigania chama.
Narudia kama wamekengeuka na kula kiapo bila ridha ya chama ,basi wafukuzwe wote Mara moja bila kujali jina la MTU.
Yako wapi sasa[emoji848]View attachment 1633816
Kweli adui muombee njaaNJAA MBAYA....nje ya siasa hawana cha kufanya.
Bora mie mkulima....
Anawafukuza nani wakati wana baraka za mbowe?Habari wakuu,
Kutokana na Duru za siasa zinavyoendelea nchini Tanzania, Hasa kwa upande wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Huenda Wabunge wa Viti Maalum kutoka Chadema Ambao Wameenda Bungeni Dodoma leo kwa ajili ya kuapishwa kuwa Wabunge wa Viti maalum, WAKAFUKUZWA ndani ya chama.
Hili Ni nalisema kwamba huenda isifike 2024 Viongozi wakuu wa Chama wakafanya maamuzi magumu. Na Hili linaweza Kuwapa credentials CHADEMA lkn kusiwe na faida ktk suala la ruzuku. Yaan itapungua kuliko wangekuwepo hawa kina Mdee na Wenzake.
Salome nae kapata viti maalumu?.Ndio yalikuwa masharti ya mhutu kumtoa jela yeye na Salome Makamba .
Bora ndugai awalinde hizo ni nafasi za wanawake kwanini wanaume watumie mfumo dume kuwanyanyasa wanawakeKuna uwezekano hata wakifukuzwa uanachama ndugai akawalinda waendelee kihudhuria bungeni, ref yule mbunge alievuliwa ubunge lakini ndugai alimkingia kifua na aliendelea kuhudhuria bunge
You know nothing about politics.kampikie mumeBora ndugai awalinde hizo ni nafasi za wanawake kwanini wanaume watumie mfumo dume kuwanyanyasa wanawake
Hawa ni wabunge wa Ndugai siyo wa ChademaKuna uwezekano hata wakifukuzwa uanachama ndugai akawalinda waendelee kihudhuria bungeni, ref yule mbunge alievuliwa ubunge lakini ndugai alimkingia kifua na aliendelea kuhudhuria bunge
Hawa ni wabunge wa Ndugai siyo wa chadeKuna uwezekano hata wakifukuzwa uanachama ndugai akawalinda waendelee kihudhuria bungeni, ref yule mbunge alievuliwa ubunge lakini ndugai alimkingia kifua na aliendelea kuhudhuria bunge
Kwanini wasipewe wanna CCM wenzako?Bora ndugai awalinde hizo ni nafasi za wanawake kwanini wanaume watumie mfumo dume kuwanyanyasa wanawake
Hzo zilikuwa za CDM ccm zao tayariHawa ni wabunge wa Ndugai siyo wa chade
Kwanini wasipewe wanna CCM wenzako?
Mbona mnalazimisha Chadema na wakati NCCR nao wapo?Hzo zilikuwa za CDM ccm zao tayari
Acha dharu wewe boyaYou know nothing about politics.kampikie mume
Muda mrefu Ni muda upi! FafanuaZitto mbona alikuwa mbunge wa mahakama kwa mda mrefu