Nili pendekeza hiyo huenda jamaa yake ana gari ingine ya kazi pia.. Kwenye bandiko kasema jamaa yake anataka "gari nzuri" sio gari ya kazi π π π angesema anataka gari ya kazi nisingependekeza hiyo
Huyo msukuma tunaweza kumuuzia hata corola kwa million 60 tunachofanya tunaivalisha sticker za Lamborghini alaf inayobaki tunagawana unaonaje hilo wazo?