Ushauri: Dr W Slaa bado unahitaji wanawake

Ushauri: Dr W Slaa bado unahitaji wanawake

Naunga mkono hoja,chadema isi wadharau wanawake wa kawaida kwani nao wanamchango mkubwa katika kufikia malengo ya kukamata DOLA 2015.nawasilisha.
 
2014 tunaelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa, na 2015 tunaelekea katika uchaguzi mkuu (kama katiba itakuwa imekamilika). Lakini lazma utambue ili chama chako kishinde hakihitaji tuu wanachama wake, la hasha mnaihitaji CCM, mnaihitaji CUF na hata wale wasio na vyama (in short mnahitaji majority)

Usipoipenda CDM machoni, moyoni lazima utaipenda tu. Nashukuru mkuu timu nzima ya b7 imekubali hii kasi ya CDM. Jana Kinana anadai CCM imekusanya maoni ya WanaCCM ml 2 kwenye rasimu ya kaitba mpya!!! Swali ni wapi walikusanya hayo maoni na lini?? Uongo utaingazamiza CCM. Nawapa heko CDM kwa kasi wanayoenda nayo kuhakikisha kwamba Watanzania wanaielewa Rasimu ya katiba.
 
Ushauri mzuri ila sidhani kama hiyo title ilikua necessary.Pia unaandika kama vile unamlenga Dr.Slaa personally.

Ndio excess promo ya Dr. Slaa na wala sio CDM imetufikisha hapo! This is huge risk in case of absence of the icons!!!
 
Mke wa mtu sumu,lki pia wapo wenye umri mkubwa hawajamaliza michezo,kwa wake za watu cdm haiaminiki,pengine mpaka kesi iishe mahakamani.
 
Wewe mleta uzi, taratibu ndugu yangu, Hakuna Mwanamke aliyetayari kujitosa akapigwe bomu au akatwe mkono kwasababu ya siasa ya Chadema, watoto wao na familia zao watatunzwa na nani?
Wanawake walioko Chadema ni Makahaba walio kubuhu mpaka wanafanya usagaji Eg. Halima Mdee.
 
Kajiozeshe kwa mkuu wa waliberali make inaonekana unachowaza ni 73go unaacha mada unawaza, hao bosi zako unafahamu idadi ya wake zao?

utatetea hata upumbavu.au mchungaji anaruhusiwa kuzini?urahisi wadini wapumbavu huukimbilia,ugumu wa dini werevu hutafakari.
 
Back
Top Bottom