Ushauri: Dr W Slaa bado unahitaji wanawake

Ushauri: Dr W Slaa bado unahitaji wanawake

mwambi babu aoe kwanza tunaogopa kuwaleta wake zetu wasije waka.....be...stolen.

Wa kwako sii bado ana be stolen na yule muuza genge kwa ajili ya mbogamboga unazoshindwa kuhudumia nyumbani? Mnapenda sana kuchafua mijadala kutokana na ufinyu wenu wa akili,na nimeamini kuwa hatusongi mbele nchi hii kwa vile watu wenye akili kama zako bado wanaishi kizazi hiki.
ImageUploadedByJamiiForums1377175235.277031.jpg
 
Nashukuru kwa kuamini kwanza wabunge wa CDM wataongezeka......bado haupo mbali sana na ukweli.CDM 2015......

Mimi mara zote sina unafiki huwa nafunguka,katika suala la wabunge hilo nawakubali lakini kwenye urais bado sana,kwa sababu kwanz hakuna mtu anayeweza kusimama kwenye nafasi ya urais,lakini pili nguvu kwenye nafasi hiyo bado ni ndogo sana hawajawekeza kwenye eneo hilo maybe miaka kumi ijayomhivi wanaweza wakaanza kuifikiria.lakini maccm yawe yamelala ingawa na yenyewe sasa hivi yameamka kw sababu mavi kila siku yanagonga huko nyuma.
 
Nimeipenda hii, ushauri ni mzuri sana, kazi kwao hao chadema aidha kuufanyia kazi au kuubeza, ingawan hata mimi heading ilinishtua sana maana nilichokuwa nakifikiria sicho nilichokikuta, big up!!

Chadema kazi kwenu wakuu.
 
kitu kingine cdm kinacho wakosesha wanawake ni kule kukataa ulinzi wa jeshi la polisi ktk mikutano yenu.
sasa mkijilinda na hao mabregadi mwanamke gani utampata labda ma.gu.be.
 
Mimi mara zote sina unafiki huwa nafunguka,katika suala la wabunge hilo nawakubali lakini kwenye urais bado sana,kwa sababu kwanz hakuna mtu anayeweza kusimama kwenye nafasi ya urais,lakini pili nguvu kwenye nafasi hiyo bado ni ndogo sana hawajawekeza kwenye eneo hilo maybe miaka kumi ijayomhivi wanaweza wakaanza kuifikiria.lakini maccm yawe yamelala ingawa na yenyewe sasa hivi yameamka kw sababu mavi kila siku yanagonga huko nyuma.

Nashukuru kwa kulielewa hilo......hata urais tunachukua kwa maana dalili zinaonesha.

CCM imekuwa chama pinzani kwanzia sasa hivi....
 
1. wanawake wanataka maneno laini.na kuwabembeleza sasa mkiwaita mashankupe mtaendea kuwa washiriki mpaka mwisho wa dunia.
2.mabomu yamezidi kulipuka alafu ushahidi wa video mnao wenyewe, mwanamke gani mjinga atakubali kusogea.
2. maandamano yanayohatarisha usalama kila siku mwanamke gani utampata.wanahofia usalama wa watoto wao.
3.wanawake mwanza wanajuta na ujinga mmnaoufanya.na ikiwa mwanza mlikuwa na madiwani wengi na meya alikuwa wa kwenu nini mlicho kifanya.mmetota kwa mavurugu ya wenyewe kwa wenyewe "shame on you"

Wala hatuna muda na watu km niny akina tofyo,saanane,bungen, na wengne sisi tunafanya kazi ya kuwapa elimu watz wote hvyo yule anayeelewa atakubaliana na chadema mf. Ht shulen wanafunzi huwa hawafanani uelewa km vile wewe tofyo ulivopata zero ndo maana umeamua kuvuna buku 7 pale lumumba. By the way ushauri wa mleta thread ni mzuri kwa maana inabidi chadema ijikite zaidi kuwaelimisha wanawake falsafa, itikadi na malengo ya chama.
 
unakumbuka mwamvuli wakati mvua imeisha.hio elimu ya wanawake mtawapea wapi?
siku zimekwisha chadema amebaki kuonekana kama chanzo cha vurugu hapa nchini.
 
Dr W Slaa,

Nina ushauri kwako. 2014 tunaelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa, na 2015 tunaelekea katika uchaguzi mkuu (kama katiba itakuwa imekamilika). Lakini lazma utambue ili chama chako kishinde hakihitaji tuu wanachama wake, la hasha mnaihitaji CCM, mnaihitaji CUF na hata wale wasio na vyama (in short mnahitaji majority)

Tatizo lililopo hapa nchini ni uelewa na siasa zimefanywa uadui, sikuhizi akipita mtu amevaa tshit ya CCM anatukanwa, anabezwa. Chadema hata hapa JF kuna a certain sterio-type kwamba mtu yoyote kijana aliyepo CCM anaonekana "mjinga",wengine wanasema kuwepo CCM lazma uwe na "akili za maiti". Huku mtaani kwangu vijana wa chadema wanadharau mtu aliyepo CCM. Mbaya kuliko zote sterio-type inaendelea hadi kwenye level ya jinsia. Chadema haina aina ya wanawake wahamasishaji na hata hamuoni kuwa chadema kimekosa wanawake wenye ushawishi kw wanawake wengine. Aina ya wanawake waliopo chadema ni tofauti kabisa na wale waliopo ccm. Ukweli Bawacha inahitaji kujipanga sana (hawa wataikomboa chadema sababu bado hiki chama hakiaminiki sana na wanawake kama wapo ni wale middle class/kidogo waliosoma)..mnahitaji aina ya wanawake kama waliopo CCM..nyie mtawaona kama "mashankupe" lakini ndio aina ya watanzania hao na ndio wanawake wengi wahamasishaji wa kitanzania walivyo.

Chadema mmekuwa na utaratibu wa kushtaki serikali kwa umma. Na sasa anzisheni kampeni za kuzunguka nchi nzima kuishataki CCM kwa wanachama wake, waje wamevaa tshirt zao bila kuwabugudhiwa mukishtaki chama chao. Sio kila siku mnaitisha mikutano ya wanachama wenu kuisema CCM.."Kwa sasa mnahitaji wanaCCM sababu wanaCHADEMA mnao mkononi"

Inawezekana kabisa kwani km unamfahamu yupo kijana anaitwa KAMANDA MAWAZO ni mwanaharakati wa chadema aliwahi kufika hapa Mwanza akaaitisha mkutano akaomba akutane na wanaCCM alipata mwitikio sana japo bAada ya mkutano kuna baadhi ya viongozi wa CCM wanasema wale waliohudhuria ule mkutano ni wanachadema waliokuwa wamevaa sare za CCM but he made a point kuwa hana uadui na wanaCCM na amezidi kukubalika huku kanda ya ziwa.

Mwisho nimetoa tu ushauri!!

Badala ya kujali Vitakavyojenga NCHI HII bado unahangaika na Private Issue za Dr. Slaa; sasa hivi ni kujua ni kwanini Nchi za jirani hawatupendi? ni kwanini UGANDA na RWANDA hawatatumia Bandari yetu

Ni kwasababu ya Wizi na Mamlaka waliyonayo watoto wa VIGOGO huko Bandarini?

Lini tutaendelea ? kuliko kujali Private issues za Wanasiasa? Mbona Mzee Rashid Kawawa alipokuwa hai haukua unaongelea kuhusu yeye ni Wanawake???

ONGEZA UPEO saidia nchi yako indelee... sio kuwaza private issues za watu...
 
mwambi babu aoe kwanza tunaogopa kuwaleta wake zetu wasije waka.....be...stolen.

...huyo mke wako hata ukimtoa bure, hakuna mwanaume atakaye vutiwa-nae...mwambie aoge kwanza!...
 
Ushauri mzuri kwa wana chadem wote ili kila mmoja ahakikishe kuwa akina mama ndio nguzo kubwa iliyobaki ya kuegemea kwa sasa, kwan akina baba wengi wameshag'amua ukweli na kuiunga mkono chadema
 
Ushauri mzuri. Naongeza- kuwe na kamati ya kitaifa ya M4c ya wanawake...tangazeni kuwezeshwa juu ya ili. Lengo ni moja tu...kuindoa dola mikononi mwa mafisadi kwa njia ya amani ( sanduku la kura). Siioni tnz yenye heshima, nguvu na weledi kwa watu wake mikononi mwa ccm beyond 2016...tujitahidi jamani vinginevyo..hnnn...chenge, el, makamba...nk...God forbid
 
Dr W Slaa,

Nina ushauri kwako. 2014 tunaelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa, na 2015 tunaelekea katika uchaguzi mkuu (kama katiba itakuwa imekamilika). Lakini lazma utambue ili chama chako kishinde hakihitaji tuu wanachama wake, la hasha mnaihitaji CCM, mnaihitaji CUF na hata wale wasio na vyama (in short mnahitaji majority)

Tatizo lililopo hapa nchini ni uelewa na siasa zimefanywa uadui, sikuhizi akipita mtu amevaa tshit ya CCM anatukanwa, anabezwa. Chadema hata hapa JF kuna a certain sterio-type kwamba mtu yoyote kijana aliyepo CCM anaonekana "mjinga",wengine wanasema kuwepo CCM lazma uwe na "akili za maiti". Huku mtaani kwangu vijana wa chadema wanadharau mtu aliyepo CCM. Mbaya kuliko zote sterio-type inaendelea hadi kwenye level ya jinsia. Chadema haina aina ya wanawake wahamasishaji na hata hamuoni kuwa chadema kimekosa wanawake wenye ushawishi kw wanawake wengine. Aina ya wanawake waliopo chadema ni tofauti kabisa na wale waliopo ccm. Ukweli Bawacha inahitaji kujipanga sana (hawa wataikomboa chadema sababu bado hiki chama hakiaminiki sana na wanawake kama wapo ni wale middle class/kidogo waliosoma)..mnahitaji aina ya wanawake kama waliopo CCM..nyie mtawaona kama "mashankupe" lakini ndio aina ya watanzania hao na ndio wanawake wengi wahamasishaji wa kitanzania walivyo.

Chadema mmekuwa na utaratibu wa kushtaki serikali kwa umma. Na sasa anzisheni kampeni za kuzunguka nchi nzima kuishataki CCM kwa wanachama wake, waje wamevaa tshirt zao bila kuwabugudhiwa mukishtaki chama chao. Sio kila siku mnaitisha mikutano ya wanachama wenu kuisema CCM.."Kwa sasa mnahitaji wanaCCM sababu wanaCHADEMA mnao mkononi"

Inawezekana kabisa kwani km unamfahamu yupo kijana anaitwa KAMANDA MAWAZO ni mwanaharakati wa chadema aliwahi kufika hapa Mwanza akaaitisha mkutano akaomba akutane na wanaCCM alipata mwitikio sana japo bAada ya mkutano kuna baadhi ya viongozi wa CCM wanasema wale waliohudhuria ule mkutano ni wanachadema waliokuwa wamevaa sare za CCM but he made a point kuwa hana uadui na wanaCCM na amezidi kukubalika huku kanda ya ziwa.

Mwisho nimetoa tu ushauri!!
CMD wanaitaji muda wa zaidi ya miaka 70 kuanzia sasa ili wapate kutawala.fanya utafiti mdogo ni majimbo mangapi ya CCM wabunge wake wanapita bila kupingwa?CMD ina ofisi ngapi katika kila mkoa, wilaya hata kata?kwa ayo machahe utagungua CMD ni NGOs ya kina Mbowe na Slaa kupiga pesa .
wacha watafune........
 
Ushauri mzuri ila sidhani kama hiyo title ilikua necessary.Pia unaandika kama vile unamlenga Dr.Slaa personally.

Huyu Kihyo kichefu chefu sana kwa kweli,
Hiyo Title ina kasoro gani sasa,
Mbona ushaur wake umekaa vizur na wa kujenga tuh,
Wapi ilipoonekana kum-attack Dr Slaa personally?
Hivi kakupa kazi ya kuja kusimama on behalf?
Thats why tunakuambia jaribu kuish maisha yako,usidhan kwa kuonekana unasimama kila mahala kujaribu kumulika tochi uone wapi Dr Slaa katajwa na wewe uje utoe clarification basi utajenga status na reputation,hiyo haipo bwana mdogo,

Jamaa katoa ujumbe safi na kaupeleka kwa Dr Slaa kama katibu wa chama na mtendaji mkuu,wewe kinachokuumiza kipi hasa?
Unatia huruma sana
 
Mtoa mada hiyo title inaonyesha nawe ni zero brain maana inaleta tafsiri tofauti na ulichoandika ndani, ungesema cdm sio silaa.
 
Back
Top Bottom