Power G
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,884
- 1,200
Mbona mwigulu hao wake zenu huwa mnampelekea wenyewe?!mwambi babu aoe kwanza tunaogopa kuwaleta wake zetu wasije waka.....be...stolen.
Mbona mwigulu hao wake zenu huwa mnampelekea wenyewe?!mwambi babu aoe kwanza tunaogopa kuwaleta wake zetu wasije waka.....be...stolen.
Za kwako umeshakwenda kuchukua kwa babu??!
Siendagi mie.....kwani alisharud kuwaona wakina masogange?
kwa level gani?
_elimu
_madaraka
_urimbwende
_ujana au kwa lipi haswa.
Acha kutuzuga miss kuna taarifa kwamba nawe umeanza ndogo ndogo?!
Ila alitupa jela familia nzima maisha kisa K ya Sinza!
Aliyekupa hizo taarifa alitaka kujua kama wewe unaweza kufikisha taarifa kwa ufasaha.....
Tumegundua una matatizo yakutofikisha taarifa kama ulivyopewa,......Taarifa iliyopo ni CDM 2015 mwendo mdundo.
Kka uliyoyaxxema ni kweli tatizo cdm inejikita kueneza chuki juu ya ccm hivyo kupelekea chuki miongoni mwetu kati ya ccm na cdm hiyo c dmorasia ya kweli katika siasa zetu
Kwa utetezi huu miss inaonekana wewe ni mnytiaji mzuri sana wa vya watu,dah!!!
bora yeye kwa sababu hajapora wa mtu kama babu!!
Ina maana hata hoja iliyopo mezani huoni?!!kweli ukombozi wa fikra unahitajika
Ni mtazamo wako tuu @ WABHEJASANA......si lazima uwe kweli.
CDM 2015 wataisoma
Haya ma mdogo.turudi kwenye hoja,sikia namuomba sna muumba wangu atuweke,bado sijaona jitihada zilizofanyika ili kuifanya cdm iingie madaraksni ama iunde serikal7,ila ninchoona wanafanya jitihada za kuongeza wabunge hili wanaweza kufanikiwa yasipowakuta yale ya cuf mwaka ule!,hebu tusubiri kwa sbb
muda bado!
hio sio hoja, huo ni ushauri. na kama wakombozi wenyewe ndio hivyo kazi mnayo.
MKUU kwa nini unahisi au unajuaje kuwa "wake zenu" au mke wako anamfaa
Haya ma mdogo.turudi kwenye hoja,sikia namuomba sna muumba wangu atuweke,bado sijaona jitihada zilizofanyika ili kuifanya cdm iingie madaraksni ama iunde serikal7,ila ninchoona wanafanya jitihada za kuongeza wabunge hili wanaweza kufanikiwa yasipowakuta yale ya cuf mwaka ule!,hebu tusubiri kwa sbb
muda bado!
CCM imebakiza mtaji wa wanawake tu