kibaya-kenya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 649
- 166
ccm ni majangaa na aibu tupu, SHAME UPON THEM, kweli ushauri wako ni mzuri nafikiri CHADEMA WATAFANYIA KAZI MAWAZO YAKO.
busara ya kuwa handle wanawake haipo ndani ya cdm haipo kwa sababu ya kashfa zifuatazo
1.mbowe__kuna mtu bungeni__ katunguliwa mimba (tuhuma)
2.lema_kule uingereza kesi iko ubaoni (ubakaji)
3.slaa_habari bure.
Ongelea hoja iliyopo mezani na sio kuleta hadith za juma na uledi.
Hata hizo pesa mnazopewa huko lumumba ni bure kabisa kwa watu kama wewe.....sasa hapo umeona umewachafua????
ushauri ni ushauri tu haijaalishi umeukubali au utaukataa, vyema kujifunza kutoka kwa wengine, mwl nyerere aliwahi kusema chama ni kama dodoki lazima kisafishe uchafu uliondani yake ili kiwe safi (zaidi)
Ongelea hoja iliyopo mezani na sio kuleta hadith za juma na uledi.
Hata hizo pesa mnazopewa huko lumumba ni bure kabisa kwa watu kama wewe.....sasa hapo umeona umewachafua????
naomba tusiongee ndani ya ccm ni aibu sana
Dr W Slaa,
Nina ushauri kwako. 2014 tunaelekea kwenye chaguzi za serikali za mitaa, na 2015 tunaelekea katika uchaguzi mkuu (kama katiba itakuwa imekamilika). Lakini lazma utambue ili chama chako kishinde hakihitaji tuu wanachama wake, la hasha mnaihitaji CCM, mnaihitaji CUF na hata wale wasio na vyama (in short mnahitaji majority)
Tatizo lililopo hapa nchini ni uelewa na siasa zimefanywa uadui, sikuhizi akipita mtu amevaa tshit ya CCM anatukanwa, anabezwa. Chadema hata hapa JF kuna a certain sterio-type kwamba mtu yoyote kijana aliyepo CCM anaonekana "mjinga",wengine wanasema kuwepo CCM lazma uwe na "akili za maiti". Huku mtaani kwangu vijana wa chadema wanadharau mtu aliyepo CCM. Mbaya kuliko zote sterio-type inaendelea hadi kwenye level ya jinsia. Chadema haina aina ya wanawake wahamasishaji na hata hamuoni kuwa chadema kimekosa wanawake wenye ushawishi kw wanawake wengine. Aina ya wanawake waliopo chadema ni tofauti kabisa na wale waliopo ccm. Ukweli Bawacha inahitaji kujipanga sana (hawa wataikomboa chadema sababu bado hiki chama hakiaminiki sana na wanawake kama wapo ni wale middle class/kidogo waliosoma)..mnahitaji aina ya wanawake kama waliopo CCM..nyie mtawaona kama "mashankupe" lakini ndio aina ya watanzania hao na ndio wanawake wengi wahamasishaji wa kitanzania walivyo.
Chadema mmekuwa na utaratibu wa kushtaki serikali kwa umma. Na sasa anzisheni kampeni za kuzunguka nchi nzima kuishataki CCM kwa wanachama wake, waje wamevaa tshirt zao bila kuwabugudhiwa mukishtaki chama chao. Sio kila siku mnaitisha mikutano ya wanachama wenu kuisema CCM.."Kwa sasa mnahitaji wanaCCM sababu wanaCHADEMA mnao mkononi"
Inawezekana kabisa kwani km unamfahamu yupo kijana anaitwa KAMANDA MAWAZO ni mwanaharakati wa chadema aliwahi kufika hapa Mwanza akaaitisha mkutano akaomba akutane na wanaCCM alipata mwitikio sana japo bAada ya mkutano kuna baadhi ya viongozi wa CCM wanasema wale waliohudhuria ule mkutano ni wanachadema waliokuwa wamevaa sare za CCM but he made a point kuwa hana uadui na wanaCCM na amezidi kukubalika huku kanda ya ziwa.
Mwisho nimetoa tu ushauri!!
Ongelea hoja iliyopo mezani na sio kuleta hadith za juma na uledi.
Hata hizo pesa mnazopewa huko lumumba ni bure kabisa kwa watu kama wewe.....sasa hapo umeona umewachafua????
Ushauri mzuri ila sidhani kama hiyo title ilikua necessary.Pia unaandika kama vile unamlenga Dr.Slaa personally.
Ni Mwanamke gani CCM ambaye tunaweza kumuweka kwenye Level ya Halima Mdee ?
mwambi babu aoe kwanza tunaogopa kuwaleta wake zetu wasije waka.....be...stolen.
Ni Mwanamke gani CCM ambaye tunaweza kumuweka kwenye Level ya Halima Mdee ?
busara ya kuwa handle wanawake haipo ndani ya cdm haipo kwa sababu ya kashfa zifuatazo
1.mbowe__kuna mtu bungeni__ katunguliwa mimba (tuhuma)
2.lema_kule uingereza kesi iko ubaoni (ubakaji)
3.slaa_habari bure.
Ben akili nyingi mwisho unaharibu sasa, yaani inaonesha wewe ndiyo unamkashifu Katibu Mkuu wako sasa!
Bora yeye kwa sababu hajapora wa mtu kama babu!!
Mamaako ashukuru Mungu alikuzaa akatoa uchafu tumboni vinginevyo ungemuua kwa kansa ya tumbo la uzazi.
embu weka hio hoja kutoka kwenu,
Za kwako umeshakwenda kuchukua kwa babu??!
Ni Mwanamke gani CCM ambaye tunaweza kumuweka kwenye Level ya Halima Mdee ?