Ushauri: Deni langu Banc ABC limeanza upya

YANI WEWE UNAULIZA MSAADA HAPA, WANA JAMII FORUM HUWA TUNA LOG IN KWENYE SYSTEM YA ABC BANK? SI UENDE, AISEE WASWAHILI WA MSOGA MNA TABU SANA!
Anataka kuonyesha anamiliki hiyo pesa ya Mkopo.masikini akipata.............!
 
YANI WEWE UNAULIZA MSAADA HAPA, WANA JAMII FORUM HUWA TUNA LOG IN KWENYE SYSTEM YA ABC BANK? SI UENDE, AISEE WASWAHILI WA MSOGA MNA TABU SANA!
sio abc bank ni abc banc, hawana tofauti na byport, ukijilengesha kwao umekwisha, mimi nilikopa 8m mwaka huo juzi nimeenda na cash deni laki 7 na nakatwa laki tatu, jamaa wabaya sana hao, unavowaendea unadhani unaenda benki
 
Wandugu hamjambo.

Naombeni msaada wa kimawazo,

Mim ni civil servant, Nina mkopo abc banc,

Toka mwaka 2015,
Jumla ya makato kwa miezi 72 ni si chini ya 14,876,000

Mwezi FEB deni lilikuwa 11,7....... (Figa kama hyo) ila cha kushangaza leo naingia kwenye portal kuchek taarifa z. Mshahara naona 14,8........)

Wakati hard copy ya hati ya mshahara ya Feb inaonyesha 11m,

Je nifanyeje?

Pia Nataka wanipe balance niwalipe .

Naombeni msaada.
0ae27224e20f341e60a81a98f43fa8da.jpg
6.jpg[/IMG]

Hujaweka taarifa za kutosha:-
1. Je ni mwezi na mwaka upi ulianza kurudisha deni hilo
2. Makato/rejesho kwa mwezi ni kiasi gani
3. Asilimia ya makato/interest rate kwa mwaka ni ngapi

Hapo ni kwenda kuwaona ukiwa na taarifa ya makato ya mkopo hadi ulipofikia na kwa kuwa unataka kuclear deni upigiwe hesabu la deni lililobaki then unegotiate uwezekano wa kuondolewa riba kwenye kiasi cha deni lililokuwa limebaki ingawa inategemea na Policy za mkopaji kama wanaruhusu kufanya hivyo (Kuna baadhi ya benki ukirejesha lets say kwa miezi 6 then wanakuondolea riba kwenye deni lililobaki imgawaje kunaweza kuwa na masharti mengineyo).

Nahisi ulichokosea ni kutofanya uchunguzi wa kutosha kabla ya kuchukua uamuzi wa kukopa kwenye benki tajwa na hapa ndio wengi wetu hukosea (maana) ukiangalia kwa harakaharaka Makato yako yanalenga kwenye 24%-25% kwa mwaka ambayo kwa benki nyingine Marejesho yote yangecheza kwenye TZS 11,150,000/= (Roughly) Utaona hapo kuna tofauti ya TZS 3,726,000/= (Ambayo ni zaidi ya nusu ya hela uliyokopa).
Niishie hapa kwa sasa.
 
Asante mkuu, nadhani unaona 209,... Hapo ndyo makato,

Kubusu mwezi walioanza makato ni Dec 2015, mwanzo makato yalikuwa 205,000 wameongeza juu kwa juu.
 
Haya mabanki ya kitanzania hayapo regulated kwy inshu za interest nk kwa iyo wanafanya wanachotaka,BOT is very week institution haina sauti. Bank zinakopeshana kwa riba ya ndogo sana,ila bank kwenda kwa watu sio chini 19%.
 
Nakulipia nusu halafu nusu unamaliza mwenyewe kwa makubaliano kadhaa nalipa 7m na wewe malizia 7m. Kwa masharti kadhaa upo tayari.
 
Wandugu hamjambo.

Naombeni msaada wa kimawazo,

Mim ni civil servant, Nina mkopo abc banc,

Toka mwaka 2015,
Jumla ya makato kwa miezi 72 ni si chini ya 14,876,000

Mwezi FEB deni lilikuwa 11,7....... (Figa kama hyo) ila cha kushangaza leo naingia kwenye portal kuchek taarifa z. Mshahara naona 14,8........)

Wakati hard copy ya hati ya mshahara ya Feb inaonyesha 11m,

Je nifanyeje?

Pia Nataka wanipe balance niwalipe .

Naombeni msaada.
0ae27224e20f341e60a81a98f43fa8da.jpg
6.jpg[/IMG]
Toka feb hadi leo, ulikuwa unaendelea kulipa au ulisimama?
 
Ni kwa nini waTZ tunapenda kuweka mzaha au utani kwenye kila jambo? Kama huwezi kumsaidia afadhali usiandike chochote. Ninavyoona huyu jamaa anahitaji ushauri au mawazo kama kuna mtu ameshapitia hali kama hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom