Hana diplomasia huyu aliwahi charaza wanafunzi kama kichaa.This is not diplomatic .
Badala angejikita Ku to a suluhisho yeye anakimbilia vitisho .
Hawa ndio wateule wa malkia wa anga.
Hana diplomasia huyu aliwahi charaza wanafunzi kama kichaa.This is not diplomatic .
Badala angejikita Ku to a suluhisho yeye anakimbilia vitisho .
AiseeeHana diplomasia huyu aliwahi charaza wanafunzi kama kichaa.
Hawa ndio wateule wa malkia wa anga.
View attachment 3024800
ChakavuChalamila ni chuma
Noma sana!Kuna mtu alisemaga huyu mwamba alikua mwalimu wa chuo, hivi Ni chuo gani hicho na alikua anafundisha Nini?
Mbona Hana point na ubunifu kiasi hichi?
Hebu tumuache atumie Askari Kariakoo Kama alivyowatumia kukamata wake za watu na kuwasingizia kwamba Ni dadapoa.
Chalamila ni tope la mfinyanziWatu wenye Akili huwa wanajitenga na siasa hivyo usishangae MTU Kama chalamila kupata nafasi
Chalamila asikashifiwe kama andiko lilivyo sheria zinaandaliwa mnaziona hamtoi maoni yenu mnakuwa busy na zote elfu saba. Zote elfu saba humu wenzenu wanaleta sheria wadau mnakuwa kimya . Sasa mnagoma kuwasilisha hoja kwa serikali au kuona Chalamila anavyoweza kuhandle matatizo ya wafanyabishara?? Kuna wengine ukiomba risiti utasikia hatutoi rudisha bidhaa ukifika mbele unashikwa kwa kutokuwa na risiti mali TRA wanachukua mzigoNatoa ushauri kwa Mamlaka ya Uteuzi kwamba, ipo haja ya dharula ya kumuondoa Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila baada ya Kushindwa kutumia Ushawishi kumaliza mgomo wa Wafanyabiasha wa Dar es Salaam na badala yake anatoa vitisho.
View attachment 3024750
Mgomo wa Wafanyabiashara hautamalizwa kwa vitisho vya namna yoyote ile, hii kwa sababu Biashara za watu ndio Maisha yao, ndio uwekezaji wao, ni mitaji yao, walizianzisha wao wenyewe kwa kufuata sheria za nchi, sasa zinapochomekwa sheria za mfukoni wafanyabiashara hawatakubali hata ikibidi kwa gharama ya damu
Cheo alichonacho Chalamila ni dhamana ya hisani tu, tena ni dhamana ya muda mfupi mno, anapaswa kutenda haki, Amos Makalla tulihakikisha ang'olewa Dar es Salaam kwa mambo haya haya anayoleta leo Chalamila, Taarifa tulizonazo ni kwamba Chalamila hajawahi kufanya biashara hata ya kuuza Mapera, kwahiyo hajui lolote kuhusu matatizo ya Wafanyabiashara, huyu alikuwa Mwl tu na baadaye akaanza kupewa hivi vyeo, anapaswa kuangalia na kufikiri kwa kina kuhusu jambo hili na hasa akizingatia kwamba Serikali yake imeshindwa kufanya biashara yoyote kutokana na changamoto, SGR, BANDARI, MWENDOKASI na Mashirika kadhaa ya umma uwe mfano kwake, Chama chake cha CCM kimeshindwa kuendeleza SUKITA , kikabaki kupora mali za Umma na kujimilikisha, vikiwemo viwanja vya soka na Majengo kadhaa
View attachment 3024761
Tunashauri Kero na Malalamiko ya Wafanyabiashara yasikilizwe na yatatuliwe, na kwa vile huyu kashindwa basi aletwe mtu mwingine haraka
View attachment 3024765
Hivi unaelewa hoja ya wafanyabiashara?Chalamila asikashifiwe kama andiko lilivyo sheria zinaandaliwa mnaziona hamtoi maoni yenu mnakuwa busy na zote elfu saba. Zote elfu saba humu wenzenu wanaleta sheria wadau mnakuwa kimya . Sasa mnagoma kuwasilisha hoja kwa serikali au kuona Chalamila anavyoweza kuhandle matatizo ya wafanyabishara?? Kuna wengine ukiomba risiti utasikia hatutoi rudisha bidhaa ukifika mbele unashikwa kwa kutokuwa na risiti mali TRA wanachukua mzigo
Wafanyabiashara wataheshimiwaChalamila akiondoka matatizo ya wafanyabiashara yatakuwa yametatuliwa?
Hujui kitu, Shut up!Wa kwepa kodi