Babu mgonjwa na ugonjwa wake hafai kuchaguliwa kuwa Rais, anasahu jina la kewe, anasahau kama yupo chadomo, anpiga "CCM Oyee".
Pale Arusha alisahau jina la Rais wa Kwanza wa Zanzibar akamuita Amro abedi. (nililisema hilo siku hiyo hiyo tena bado yupo CCM).
Huyu mamvi kuanzia yupo CCM mimi nilisema hafai kuwa Rais kwa afya yake na nnaendelea kulisema hilo.
Lakini wapumbavu na malofa hawawezi kuliona hilo.
[h=2]Ushauri: Chadema muogopeni mungu juu ya muheshimiwa lowassa[/h] Kutokana na muonekano wa kiafya wa muheshimiwa lowassa nashauri kusitisha kampeni kwa ngazi ya uraisi. Apate muda wa matibabu. Siasa zisipotezee utu wetu! Uhai na thamani ya maisha ya mwanadamu ni zaidi ya siasa. Kwa jinsi alivyokuwa pale zanzibar leo kiukweli huyu mtu kama chadema mtaendelea kumpeleka kwenye kampeni mnapata dhambi kwa mungu serious! Sitishe kampeni kwanza zifanyike taratibu za kihospitali. Wagombea ubunge wanaweza kuwa wanaendelea kumnadi kipindi ambacho haatokuwepo katika kampeni zao za kila siku.
Kuumwa sio jambo mwanadamu analojitakia, jk aliumwa na akalitangazia taifa, chadema pokeeni ushauri wangu, from humanitarian grounds please!
Naomba nisitafsiriwe vibaya
Umemaliza? kunywa maziwa kikombe kimoja ukalale kulala na sumu kali kama yako ni hatari kwa afya.
Vote4Lowassa to Remove Sisiemu
Kijana unajidanganya.
Usiache mbachao kwa msala upitao.
Au wewe ni wa KKKT?
Ata Mohamed Buhari Yule wa Nigeria walisema hivi hivi mwisho wa siku kampeni zikaisha akaibuka kidedea
Nyongeza:
Tangu lini shetani (ccm) akampenda malaika wa Mungu(chadema/ukawa/lowassa)?
Namalizia kwa kusema:
Pumbaf zenyu magamba mazafantaz firigisi mkia wa ng'ombe mbuzi nyie shwain!
Kwa kitendo cha kusema ccm hoyee kwenye jukwaa la chadema.kwa watu wenye kujitambua lowassa asingepewa hata uenyekiti wa mtaaBabu mgonjwa na ugonjwa wake hafai kuchaguliwa kuwa Rais, anasahau jina la mkewe, anasahau kama yupo chadomo anapiga "CCM Oyee" jukwaa la chadomo.
Pale Arusha alisahau jina la Rais wa Kwanza wa Zanzibar akamuita Amri Abedi. (nililisema hilo siku hiyo hiyo tena bado yupo CCM).
Huyu mamvi kuanzia yupo CCM mimi nilisema hafai kuwa Rais kwa afya yake na nnaendelea kulisema hilo.
Lakini wapumbavu na malofa hawawezi kuliona hilo.