Ushauri: Chadema ijiondoe kwenye vikao vya Maridhiano na CCM

Nakushukuru sana Katibu Mkuu kwa utulivu mkubwa wenye mipango mizito
 
Aonane ili iwejeee, tangu lini raisi aingilie mahakama??
Nani kafikishwa mahakamani; kweli unaelewa unachkiandika hapa?

Na hata kama ingkuwa hivyo, mbona kumbukumbu zako ni fupi sana.
Mara hii umesahau kwamba Mbowe huyo huyo alikuwa na kesi ikiendelea huko mahakamani, wakati yeye yupo jela?

Watu hupenda sana kujitoa akili, sijui kwa faida gani hasa!
 
Asipokuelewa hapa basi itakuwa hatari sana .
 
Maridhiano ni kitu kizuri sana kwa maslahi ya nchi,tatizo CDM na CCM nilijua wataachana kwenye mikakati ya kuifikia KATIBA MPYA kutokana na kuviziana. JK Kikwete angalau alijaribu,ila kwa lawama nyingi.Hapo ndipo centre of gravity, Je wananchi wanasemaje?
 
Tangu yaanze hakuna lolote la maana
 
Nakishukuru Chama changu kwa kupokea Ushauri huu kwa mikono miwili na kuufanyia kazi haraka

Screenshot_2023-08-26-14-12-02-1.png
 
Turudi nyuma kidogo ili tufahamu msingi mkuu wa kuanzishwa kwa hiki kinachoitwa maridhiano kati ya CCM na CHADEMA.

Maridhiano kati ya vyama hivi viwili , kimoja cha dola na kingine cha Wananchi, yalianzishwa kwa ghilba na ccm ili kuudanganya umma kwamba aliyekuwa anafanya unyama kwenye utawala wa awamu ya 5, yaani kuteka, kuua , kubambika kesi na kunyanyasa watu ni Dr Magufuli peke yake, na sasa kwa vile hayupo basi sisi tuliobaki turidhiane,
Nashauri Chadema ijiondoe kwenye Maridhiano hayo haraka, turudi kule kule tulikokuwa, turudi kwa Wananchi ambao ndio wenye nchi, hii ni kwa sababu HAKUNA KITABU CHOCHOTE CHA MUNGU AMBACHO KIMEAGIZA WANADAMU WARIDHIANE NA SHETANI.

Nakala: Freeman Mbowe, John Mnyika
Huu ni ushauri mzuri, Kwanini hukuutoa kabla?. Ina maana waliokubali maridhiano wao ni ... hawakuyajua haya?.
P
 
Mchawi mpe mwanao akulelee
Ukiisha kubali kukaa na uchawi na kufanya nae maridhiano, inamaana umeamini uchawi upo, umeukubali uchawi, umemkubali mchawi. Mkishindwana na mchawi uliokubaliana nae, huwezi tena kuanza kupiga mayowe kuwa unalogwa na kutaka kukusanya watu barabarani!.

Pale KAWE ulipata kura ngapi za wajumbe?
 
Back
Top Bottom