Ushauri: Chadema ijiondoe kwenye vikao vya Maridhiano na CCM

Yanabumbwa yakiwa nyinyi ndio mko mahakamanii, lakini yakiwa upande mwingine ni sawa sawa. Yaaani uvunje sheria makusudi halafu wakuache kabisaaa?
Kwa mfano sheria ya manunuzi inataka Wazabuni kushindanishwa, tutajie ni zabuni namba ngapi iliyowapa DP World shughuli za bandari? Na ni hatua gani za kisheria zimechukuliwa kwa ukiukwaji huo wa sheria? Hapo ni ili nijue kama unasimamia sheria kweli ama uzandiki.
 
Wakuu natanguliza Salamu , na baada ya salamu hii naingia moja kwa moja kwenye hoja.

Turudi nyuma kidogo ili tufahamu msingi mkuu wa kuanzishwa kwa hiki kinachoitwa maridhiano kati ya CCM na CHADEMA.

Maridhiano kati ya vyama hivi viwili , kimoja cha dola na kingine cha Wananchi, yalianzishwa kwa ghilba na ccm ili kuudanganya umma kwamba aliyekuwa anafanya unyama kwenye utawala wa awamu ya 5, yaani kuteka, kuua , kubambika kesi na kunyanyasa watu ni Dr Magufuli peke yake, na sasa kwa vile hayupo basi sisi tuliobaki turidhiane, kwamba wale waliokamatwa, waliofungwa, walioonewa, waliodhulumiwa, basi waachiwe ama mali zao zirejeshwe (NEVER AND NEVER AGAIN), na kwa kweli baadhi ya Wahanga wakaanza kuachiwa , wakiwemo viongozi wa Chadema Tunduma.

Nataka kuuthibitishia umma kwamba CHADEMA iliujua huu mpango wa ghilba na ilijua tu kwamba hautadumu, kutokana na ukweli kwamba Unyama uliotendwa haukuwa wa Magufuli peke yake, ulikuwa ni mpango wa ccm yote na vyombo vyao vya dola na watendaji wake, Isipokuwa kilichomponza Magufuli na wachache ni kuwa Front line kwenye unyama huo, huku wengine wakifanyia unyama wao nyuma ya Pazia.

Ushahidi wa karibu wa Jambo hili ni ule wa Kumbambikia Freeman Mbowe kesi ya Ugaidi, Mbowe alibambikwa kesi hii Wakati Magufuli hayupo, hii maana yake ni kwamba Katili ndani ya ccm hakuwa Magufuli peke yake, Ushahidi mwingine wa wazi kabisa ni kupandishwa vyeo watu wote kuanzia Polisi hadi wanaccm waliotumika kufanya unyama kwenye serikali ya awamu ya 5, IGP Wambura, huyu ndiye alikuwa mtengeneza kesi zote za uongo dhidi ya Wapinzani wa serikali, Kingai Byakanwa, Humphrey Polepole, Dr Mahera, Ramadhan Kailima, Kagurumujuli na wengine wengi waliotumika kwenye unyama na kuminya Demokrasia, wamepewa vyeo vya heshima na Serikali ya Samia.

Maridhiano siyo hongo ya kunyamazisha watu wasijadili uchafu wa Bandari na DP WORLD au uchafu mwingine, sasa kwa vile CCM imeamua kutumia watu wale wale waliotumika awamu ya 5 kubambikia watu kesi za Ugaidi na Uhaini ili kuiuzia DP WORLD bandari za Tanganyika, hapa maridhiano hakuna tena.

Nashauri Chadema ijiondoe kwenye Maridhiano hayo haraka, turudi kule kule tulikokuwa, turudi kwa Wananchi ambao ndio wenye nchi, hii ni kwa sababu HAKUNA KITABU CHOCHOTE CHA MUNGU AMBACHO KIMEAGIZA WANADAMU WARIDHIANE NA SHETANI.

Nakala: Freeman Mbowe, John Mnyika
Ondokeni.Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,angekuwa anawachekea watu wa ovyo,tusingekuwa na hii Tanzania unayoiona.Kina Bibi Titi,kina Kambona ,Kina Fundikira na wengineo,japo alidai nao uhuru,lakini walipoleta ujinga,cha moto walikiona.
 
Mbona ruzuku ya kuendeshea mikutano yenu mnanyaka kama vile golikipa wa simba anavyonyaka penati?
ruzuku anayokula chongolo na makuwadi wenzio unaijua au wewe umebaki kuwa kuwadi la dpworld hata hujui kama mamayenu na chongolo wamejenga dubai halafu wewe umeuzwa ila kwa ujinga wako unapiga makofi.
 
we ndio shetani usiyetaka kuona watu wakikaa kwa amani, upendo, mshikamano, kuaminiana wakijenga nchi yao. Hakuna mchawi km wewe maana malengo ya uchawi ni kuharibu, kutesa na kuua, na we uko mrengo huo,basi tunasema ushindwe na ulegee. Maridhiano yakiachwa wekwa akili yako hiyo ndogo unafikiri ataumia nani. Acha huo uchawi bwana mdogo haulipi
Huu ndio ukweli.
 
Ondokeni.Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,angekuwa anawachekea watu wa ovyo,tusingekuwa na hii Tanzania unayoiona.Kina Bibi Titi,kina Kambona ,Kina Fundikira na wengineo,japo alidai nao uhuru,lakini walipoleta ujinga,cha moto walikiona.
makuwadi ya warabu nenden dubai tunawatahadharisha.
 
mashetani ndio nyie msiotaka kuona watu wakikaa kwa amani. hamieni Somalia hapa kwetu hapawafai, nchi yetu ni kisiwa cha amani inaeleweka dunia nzima. Lazima tulinde tunu hii muhimu na adhimu duniani.
Mwalimu Nyerere,angewachekea wapuuzi kama hawa,leo tungekuwa zaidi ya somalia.Kina bibi Titi,kina Fundikira,kina Kamboma na wengineo,walikiona cha moto.
 
Wakuu natanguliza Salamu , na baada ya salamu hii naingia moja kwa moja kwenye hoja.

Turudi nyuma kidogo ili tufahamu msingi mkuu wa kuanzishwa kwa hiki kinachoitwa maridhiano kati ya CCM na CHADEMA.

Maridhiano kati ya vyama hivi viwili , kimoja cha dola na kingine cha Wananchi, yalianzishwa kwa ghilba na ccm ili kuudanganya umma kwamba aliyekuwa anafanya unyama kwenye utawala wa awamu ya 5, yaani kuteka, kuua , kubambika kesi na kunyanyasa watu ni Dr Magufuli peke yake, na sasa kwa vile hayupo basi sisi tuliobaki turidhiane, kwamba wale waliokamatwa, waliofungwa, walioonewa, waliodhulumiwa, basi waachiwe ama mali zao zirejeshwe (NEVER AND NEVER AGAIN), na kwa kweli baadhi ya Wahanga wakaanza kuachiwa , wakiwemo viongozi wa Chadema Tunduma.

Nataka kuuthibitishia umma kwamba CHADEMA iliujua huu mpango wa ghilba na ilijua tu kwamba hautadumu, kutokana na ukweli kwamba Unyama uliotendwa haukuwa wa Magufuli peke yake, ulikuwa ni mpango wa ccm yote na vyombo vyao vya dola na watendaji wake, Isipokuwa kilichomponza Magufuli na wachache ni kuwa Front line kwenye unyama huo, huku wengine wakifanyia unyama wao nyuma ya Pazia.

Ushahidi wa karibu wa Jambo hili ni ule wa Kumbambikia Freeman Mbowe kesi ya Ugaidi, Mbowe alibambikwa kesi hii Wakati Magufuli hayupo, hii maana yake ni kwamba Katili ndani ya ccm hakuwa Magufuli peke yake, Ushahidi mwingine wa wazi kabisa ni kupandishwa vyeo watu wote kuanzia Polisi hadi wanaccm waliotumika kufanya unyama kwenye serikali ya awamu ya 5, IGP Wambura, huyu ndiye alikuwa mtengeneza kesi zote za uongo dhidi ya Wapinzani wa serikali, Kingai Byakanwa, Humphrey Polepole, Dr Mahera, Ramadhan Kailima, Kagurumujuli na wengine wengi waliotumika kwenye unyama na kuminya Demokrasia, wamepewa vyeo vya heshima na Serikali ya Samia.

Maridhiano siyo hongo ya kunyamazisha watu wasijadili uchafu wa Bandari na DP WORLD au uchafu mwingine, sasa kwa vile CCM imeamua kutumia watu wale wale waliotumika awamu ya 5 kubambikia watu kesi za Ugaidi na Uhaini ili kuiuzia DP WORLD bandari za Tanganyika, hapa maridhiano hakuna tena.

Nashauri Chadema ijiondoe kwenye Maridhiano hayo haraka, turudi kule kule tulikokuwa, turudi kwa Wananchi ambao ndio wenye nchi, hii ni kwa sababu HAKUNA KITABU CHOCHOTE CHA MUNGU AMBACHO KIMEAGIZA WANADAMU WARIDHIANE NA SHETANI.

Nakala: Freeman Mbowe, John Mnyika
Uhuru wa manyani,mmepewa uhuru mmedhihirisha unyani wenu,acha mnyooshwe
 
Tuhame nchi kwani tuko kwa hisani ya CCM? Lazima tutaheshimiana tu, majizi ya kura hamuwezi kuachwa muuze raslimali za nchi hii tukiwaangalia, hasa ikizingatiwa hamko madarakani kwa uchaguzi halali.
Mwalimu Nyerere,hakuwachekea wanaotaka kuvuruga amani.Hata aliodai nao uhuru,wakileta ujinga chamoto walikiona.Kina bibi Titi,Kina Fundikira,kina Kambona na wengineo.
 
Siamini hata kama hayo maridhiano bado yapo, kama yatakuwa yanaendelea Chadema watakuwa ni wasaliti wa watanganyika, huwezi kukaa meza moja na dikteta anayewapa kesi za uhaini wale wanaomwambia ukweli.

Huyu tapeli wa namna hii hawezi kutudanganya analiunganisha taifa kwa maneno, wakati kwa matendo yake tunaona kabisa analibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
Mwalimu Nyerere,alikuwa hataki Ujinga.Wenzake aliongombania nao uhuru,walipotaka kuondoa amani iliyopo,kina bibi Titi,kina Fundikira,kina Kambona na wengineo,cha moto walikiona.
 
Aonane ili iwejeee, tangu lini raisi aingilie mahakama??
Nani anashida ya kuonana na wapuuz na toka lini tanzania kuna mahakama au genge la wapumbavu wa ccm linaloitwa mahakama mapoyoyo kama wewe ndio unaliita mahakama yani toka lini mahakama ikapigiwa simu?
 
mWANAMKE NI MWANAMKE (MNISAMEHE WANAWAKE WENGINE)
Hawa washukuru,Wakati wa Mwalimu Nyerere,wangekiona cha moto mapema.Alikuwa hachekei wanaotaka kuvuruga amani.Hata aliodai nao uhuru,walipoleta ujinga chamoto walikiona.
 
Wakuu natanguliza Salamu , na baada ya salamu hii naingia moja kwa moja kwenye hoja.

Turudi nyuma kidogo ili tufahamu msingi mkuu wa kuanzishwa kwa hiki kinachoitwa maridhiano kati ya CCM na CHADEMA.

Maridhiano kati ya vyama hivi viwili , kimoja cha dola na kingine cha Wananchi, yalianzishwa kwa ghilba na ccm ili kuudanganya umma kwamba aliyekuwa anafanya unyama kwenye utawala wa awamu ya 5, yaani kuteka, kuua , kubambika kesi na kunyanyasa watu ni Dr Magufuli peke yake, na sasa kwa vile hayupo basi sisi tuliobaki turidhiane, kwamba wale waliokamatwa, waliofungwa, walioonewa, waliodhulumiwa, basi waachiwe ama mali zao zirejeshwe (NEVER AND NEVER AGAIN), na kwa kweli baadhi ya Wahanga wakaanza kuachiwa , wakiwemo viongozi wa Chadema Tunduma.

Nataka kuuthibitishia umma kwamba CHADEMA iliujua huu mpango wa ghilba na ilijua tu kwamba hautadumu, kutokana na ukweli kwamba Unyama uliotendwa haukuwa wa Magufuli peke yake, ulikuwa ni mpango wa ccm yote na vyombo vyao vya dola na watendaji wake, Isipokuwa kilichomponza Magufuli na wachache ni kuwa Front line kwenye unyama huo, huku wengine wakifanyia unyama wao nyuma ya Pazia.

Ushahidi wa karibu wa Jambo hili ni ule wa Kumbambikia Freeman Mbowe kesi ya Ugaidi, Mbowe alibambikwa kesi hii Wakati Magufuli hayupo, hii maana yake ni kwamba Katili ndani ya ccm hakuwa Magufuli peke yake, Ushahidi mwingine wa wazi kabisa ni kupandishwa vyeo watu wote kuanzia Polisi hadi wanaccm waliotumika kufanya unyama kwenye serikali ya awamu ya 5, IGP Wambura, huyu ndiye alikuwa mtengeneza kesi zote za uongo dhidi ya Wapinzani wa serikali, Kingai Byakanwa, Humphrey Polepole, Dr Mahera, Ramadhan Kailima, Kagurumujuli na wengine wengi waliotumika kwenye unyama na kuminya Demokrasia, wamepewa vyeo vya heshima na Serikali ya Samia.

Maridhiano siyo hongo ya kunyamazisha watu wasijadili uchafu wa Bandari na DP WORLD au uchafu mwingine, sasa kwa vile CCM imeamua kutumia watu wale wale waliotumika awamu ya 5 kubambikia watu kesi za Ugaidi na Uhaini ili kuiuzia DP WORLD bandari za Tanganyika, hapa maridhiano hakuna tena.

Nashauri Chadema ijiondoe kwenye Maridhiano hayo haraka, turudi kule kule tulikokuwa, turudi kwa Wananchi ambao ndio wenye nchi, hii ni kwa sababu HAKUNA KITABU CHOCHOTE CHA MUNGU AMBACHO KIMEAGIZA WANADAMU WARIDHIANE NA SHETANI.

Nakala: Freeman Mbowe, John Mnyika
Mbona mlishajiondoa mapema.kwa matendo yenu.

Tanganyika?ipi?ya wapi?

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom