USHAURI:- Bodyguard wa Mheshiwa Freeman Mbowe (KUB)

USHAURI:- Bodyguard wa Mheshiwa Freeman Mbowe (KUB)

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,987
Mlinzi huyu wakati wa picha ya mkutano wa pamoja wa Viongozi wa vyama vya upinzani kuhusu kupinga mswada wa katiba mpya, anaonekana amevaa kofia yenye chata ya FBI.

Nashauri CDM itumie moja ya chata zake kwa tija na usalama wake
 
pamoja.jpg
 
huyo sio wa NCCR kweli...maana namwona yule wa M4C pembeni kasimama
 
I really don't like the colour of that magwanda!!! huyu nae bodyguard au bouser kama wale wa kwenye madisco? hamjaonaga walinzi nini.
Una phobia ya hiyo colour? what is your favourite colour?
 
Ni ushauri mzuri huu lakini,

Maana anatakiwa kuvaa nembo ya chama na sio chombo kingine chochote...........
 
Back
Top Bottom