USHAURI:- Bodyguard wa Mheshiwa Freeman Mbowe (KUB)

USHAURI:- Bodyguard wa Mheshiwa Freeman Mbowe (KUB)

i really don't like the colour of that magwanda!!! Huyu nae bodyguard au bouser kama wale wa kwenye madisco? Hamjaonaga walinzi nini.
wamakonde na wamasai nao walinzi.... Siku hizi kuna hadi walinzi shirikishi...
 
huyo jamaa anona vizuri kweli, maana naona kama haoni freshi, hizo miwani zimekua nzito sana, afu unaeza kuta kweli ni mstaafu wa efu biai ya omama, omama alipokuja alimsahau jamaa
 
Wanajuaga maana yake basi basi si mambulula tu hawa jamaa
 
sure!.. ila kuna mambo meni ya kujadili yenye tija! sio hili...........
​
​
 
I really don't like the colour of that magwanda!!! huyu nae bodyguard au bouser kama wale wa kwenye madisco? hamjaonaga walinzi nini.
Walinzi unaowajua ni wale wanapiga suti za mgao wa Waarabu halafu wanabeba mifuko(briefcase) za sembe.
 
Mlinzi huyu wakati wa picha ya mkutano wa pamoja wa Viongozi wa vyama vya upinzani kuhusu kupinga mswada wa katiba mpya, anaonekana amevaa kofia yenye chata ya FBI.

Nashauri CDM itumie moja ya chata zake kwa tija na usalama wake
"Mlinzi huyu" yuko wapi mbona hatumuoni humo
 
a speder speder​ ndiyo nini?

Jamaa kidhungu chake kitata sana!Ukute ni bosi mahali

quote_icon.png
By mir2
bounser (watunisha misuli) wale wenyewe wa ukweli hata body zao hazifutuki ovyo ila shughuli yao usiombe.
 
Back
Top Bottom