Habari wa jf. Pole na shughuli za jumapili. Me na wazo naomba mchango wenu wa mawazo. Hv kama kukiwa na group la techno la jamii forum on what's app ambapo tutaweza kuwa updated on time on techno issues. Wale wataalam wetu kama ethi... Na wengine wanaseweza wakawa wanashare ideal kwenye website lakn reminder kidogo kwenye what's app. Me nathan itakuwa poa sana
Me nahc itakuwa poa sana.
Ni wazo langu. Ushauri na mapendekezo ni mengin
Sent from my BlackBerry using JamiiForums