Ushauri asome kozi ipi kati ya hizi

Mohamedy cadinaly

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
2,452
2,220
Habarini wakuu ni mdogo wangu amechaguliwa kozi hizi
1. BACHELOR OF SCIENCE IN MUNICIPAL AND INDUSTRIALSERVICES ENGINEERING - Ardhi university
2.BD. Water Resources and Irrigation Enginee - water institute
3. BSc. Information Technology-SUA
4. Computer science

Naomba muuongozo wenu ipi kozi nzuri na yenye maslai mbeleni kwa familia zetu za wakulima
 
Bila kupepesa macho akasome Water resources ila kama anapendelea computer akasome mana ina uwanja mpana wa kujiari kama mtu yuko kweli interested
 
Tanzania ya viwanda, mwache achague mwenyewe. Kuna mtu alimchagulia wakati anaapply?

Alizipenda zote ndo maana akaziomba. Nyie ndio mnasababisha wakihitimu vyuo vikuu wanakuja kuuliza jinsi ya kujibu maswali kwenye interview.
 
Ww unaonekana mboga saba hebu tulia
 
Back
Top Bottom