Heee kwa hiyo alitaka ubaki na kickaka basi makubwa sijui niseme wivu umezid au anaumwa.................... maana atakuwa si mzima kwakweli!
Haya Tinna uscheke tu, nipe maujanja
Afadhali mkuu umenifariji.
Kumbe mm sio wakwanza!!??
Nampenda na tunaishi tofauti, yeye Tz na mimi nje ya Tz.
Siku mbili zilizopita alinipigia sm skupokea, katuma msg kwenye whatsap sikujibu. baada ya dakika kama 30 nikampigia na kuanza kujitete kwa mba nilikua bafuni nafanya usafi. He...!! hapo ndipo ugomvi ulipoanzia na madaiyake haswa ni:-
Kwanini nanyoa eneo hilo la kifanyio?
Namyolea nani (anione)?
Kwanini nisisubiri hadi nirudi likizo aninyoe yeye?
Au nimepata msaidizi wa fundi ndiomana napalilia kichaka?
Mimi nilikua kimyaaa wakati akinitolea tuhuma hizo hadi akakata sim yeye.
Niliamua kukaa kimya hadi siku iliyo fuata maana nilijikuta nimepata jazba kuliko kawaida. lakini chakushangaza hapokei sm, hajibu msg, whatsap, fb na airg namuona, lakini nikitima ujumbe hajibu.
Sasa najaribu kujiuliza nimekosea wapi?
Na nyie wakaka wenzangu huwa mnafanyiwa hivyo?
Ushauri tafadhali maana hata hata utendaji wangu wa kazi umeshuka na nimedhoofu kwa mawazo.[/QUOTE
Binadamu kwa kupenda matatizo..... Wewe unajuwa kwamba Papa anapenda kichaka pale mahali halafu unamwambia kwamba unapapiga kiwembe. Kila MTU ana maradhi yake.
Kumbumbuka ule ujumbe wa Mzee Napoleon Bonaparte kwa mke wake, Josephine: I will return to Paris tomorrow evening. Don't Wash!!!!
ndio aamini kulikuwa hakuna #tresspasers ?Nampenda na tunaishi tofauti, yeye Tz na mimi nje ya Tz.
Siku mbili zilizopita alinipigia sm skupokea, katuma msg kwenye whatsap sikujibu. baada ya dakika kama 30 nikampigia na kuanza kujitete kwa mba nilikua bafuni nafanya usafi. He...!! hapo ndipo ugomvi ulipoanzia na madaiyake haswa ni:-
Kwanini nanyoa eneo hilo la kifanyio?
Namyolea nani (anione)?
Kwanini nisisubiri hadi nirudi likizo aninyoe yeye?
Au nimepata msaidizi wa fundi ndiomana napalilia kichaka?
Mimi nilikua kimyaaa wakati akinitolea tuhuma hizo hadi akakata sim yeye.
Niliamua kukaa kimya hadi siku iliyo fuata maana nilijikuta nimepata jazba kuliko kawaida. lakini chakushangaza hapokei sm, hajibu msg, whatsap, fb na airg namuona, lakini nikitima ujumbe hajibu.
Sasa najaribu kujiuliza nimekosea wapi?
Na nyie wakaka wenzangu huwa mnafanyiwa hivyo?
Ushauri tafadhali maana hata hata utendaji wangu wa kazi umeshuka na nimedhoofu kwa mawazo.
inategemea na kabila,kuna kabila fulani huku niliko,mume anapotoka kisafari mwanamke haruhusiwa kunyoa mpaka mume atakaporudi hata kama ni mwaka mzima.
Nalog off
Ndio hivyo,ila ni marufuku kunyoa.Na mume akirudi akikuta uwanja ni mweupe hauna nyasi basi ana ruhusiwa kutoa talaka.Ebwana weee zitafika hadi za kusuka lol
ulijitetea?that means siyo kweli ama me ndo sijaelewa!
Mtu akikuchoka hata ukipumua mbele yake kwa mdomo atakwambia umejamba!
Sijaona sababu ya kununa apo unatafutiwa kosa tuu! Jiandae
:A S-confused1::A S-confused1:Sawa mkuu, ngoja nitajiandaa kwa kutafuta spare tyre