Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,435
nashukuru kusikia hilo.hahahaha nimeipenda hiii mwanawane
Nalog off
nashukuru kusikia hilo.hahahaha nimeipenda hiii mwanawane
Nampenda na tunaishi tofauti, yeye Tz na mimi nje ya Tz.
Siku mbili zilizopita alinipigia sm skupokea, katuma msg kwenye whatsap sikujibu. baada ya dakika kama 30 nikampigia na kuanza kujitete kwa mba nilikua bafuni nafanya usafi. He...!! hapo ndipo ugomvi ulipoanzia na madaiyake haswa ni:-
Kwanini nanyoa eneo hilo la kifanyio?
Namyolea nani (anione)?
Kwanini nisisubiri hadi nirudi likizo aninyoe yeye?
Au nimepata msaidizi wa fundi ndiomana napalilia kichaka?
Mimi nilikua kimyaaa wakati akinitolea tuhuma hizo hadi akakata sim yeye.
Niliamua kukaa kimya hadi siku iliyo fuata maana nilijikuta nimepata jazba kuliko kawaida. lakini chakushangaza hapokei sm, hajibu msg, whatsap, fb na airg namuona, lakini nikitima ujumbe hajibu.
Sasa najaribu kujiuliza nimekosea wapi?
Na nyie wakaka wenzangu huwa mnafanyiwa hivyo?
Ushauri tafadhali maana hata hata utendaji wangu wa kazi umeshuka na nimedhoofu kwa mawazo.
mmmhhhh..............!!!!!
Mhhhhhhhhhhh! HUYO MPENZI WAKO HANA ITIKADI ZA KIRASTAFARAI KWELI??????????