Ndio hivyo,ila ni marufuku kunyoa.Na mume akirudi akikuta uwanja ni mweupe hauna nyasi basi ana ruhusiwa kutoa talaka.
Nalog off
Heee si madogo kumbe...
Ndio hivyo,ila ni marufuku kunyoa.Na mume akirudi akikuta uwanja ni mweupe hauna nyasi basi ana ruhusiwa kutoa talaka.
Nalog off
inategemea na kabila,kuna kabila fulani huku niliko,mume anapotoka kisafari mwanamke haruhusiwa kunyoa mpaka mume atakaporudi hata kama ni mwaka mzima.
Nalog off
Mi mwenyewe nakushangaa. Kama mwenye shamba yuko tz na ww abroad, unapalilia shamba ili iweje? Rudisha shamba home afyeke michongoma mwenyewe.
Pole kwa kununiwa. Bembeleza bwana!
watsapp,facebook na kizazi cha sasa...
stori yako feki :A S-confused1: amejuaje !!!!!!
Asante kwa kunipa pole mkuu
Be up to date and dont be out of date
ulijitetea?that means siyo kweli ama me ndo sijaelewa!
Mtu akikuchoka hata ukipumua mbele yake kwa mdomo atakwambia umejamba!
Sijaona sababu ya kununa apo unatafutiwa kosa tuu! Jiandae
Mh huwezi baki na kichaka kisa kusubiri likizo ya mtu , hajui kama chaka husababisha kujikuna ovyo? Anyway huyo mtu wako alikuwa anatafuta sababu au pakuanzia magomvi. Kaa kimya usimwandikie msg wala simu yoyote kumpigia.
Kuwa wa kisasa ni kuchambia karatasi ya chooni badala ya majani? Kwa maudhui mnayoenda nayo ninyi kizazi cha dot com sishangai siku nyingine ukija na uzi tittled ''Bandugu nina tabia ya kujitia dole kwenye(sehemu inahifadhiwa kwa sasa),naombeni ushauri'' Maana utoto umezidi humu!