Hahahah duh maisha haya magumu hadi yanafanya uwe muongo sasa,mi nakumbuka dada yangu alikuwa na rafiki yake wakati wanasoma chuo,rafiki yak akapata mwanaume,na huyo dada alikuwa mzuri sana ikabidi atumie gia ya kumuonyesha mali zake,magari,nyumba kubwa,aka mdaganya hadi kazi anayofanya,bi dada kuona jamaa ana mali kaona hapa hapa pa kushikiria akawa kila wknd anatorok hstl anaenda kwa jamaa wanapika na kupakua,wanatok out kila siku wana badiri magari,mwsho wa siku wenye mali wamelud na familia yao kumbe walienda nje kutembea sasa mtoto wa shangaz ndo huyu jamaa aliwekwa km mlinzi duh kuja kugundua bi dada alilia maana alikuwa na mimba ya miez mitano basi ikabidi tu akubali azae na mahusiano yao yakaishia hapo japo jamaa anajitahid kumtunza mtoto wake