Ushauri: Alimdanganya kazi yake kabla hajamuoa

Ushauri: Alimdanganya kazi yake kabla hajamuoa

Baraka umenifurahisha sana, eti sijui nimwambieje unatamani kumpiga makofi.... Mwambie hiyo ndio faida ya kupenda kitu sio mtu... Km angependa mtu hata angekuwa mzibua vyoo angevumilia tu...
 
Baraka umenifurahisha sana, eti sijui nimwambieje unatamani kumpiga makofi.... Mwambie hiyo ndio faida ya kupenda kitu sio mtu... Km angependa mtu hata angekuwa mzibua vyoo angevumilia tu...

Dah aise ahaa
Kadandia gari kwa mbele kashagongwaaajee
 
Acha wachapwe tu wachapeni tu maana tamaa inawaponza. Kuna mdada ana masters ya chuo kikuu alidanganywa na fundi gereji standard 7 eti gereji ni yake na atamnunulia gari. jamaa kala mzigo hadi kahamia kwa demu kamzalisha ndo mdada anagundua jamaa fundi gereji tu tena ameoa alitelekeza familia baada ya kumpata yeye. Baada ya kugundua alilia sana akataka kumtoa mtoto roho shukrani kwa waungwana waliosaidia.
 
Huyo mkaka aliona kua mdada ana uwezo! Wanaume wengine wanatafuta wanawake wakuwalea kwa udi na uvumba!
Pole yake! Mi mwanaume simuamini anachoongea kwa mdomo wake kuhusu yeye mpaka nichunguze mwenyewe.
 
Form 2 kwa chuo kikuu sio ishu ni mapenzi tu.mbona sisi wanaume tunawaoa wanawake wameishia darasa la 7.wanawake hawaziwezi ndoa siku hizi ona huyu kaingia kwenye ndoa kisa kununuliwa gari wakati unajua fika kuna siku mnaweza kukosa hata hela ya kununua sukari ya kunywa chai.kuwa na mume sio aibu ni heshma wangapi wanataka ndoa na hawazipati
 
ha ha ha hakuna watu waongo mjini hapa kama madalali ha ha
huyu dada nae kiazi kabisa.

huyo dadali wake hajwahi hata kwenda na gari kwao? ha ha ha
hii story uongo
ina maana huyu bi dada hadi harusi inafanyika hajawai kuwaona ndugu wa car washer?
kufunga ndoa ina mlolongo mrefu huwezi fake maisha utajulikana tu
 
hii story uongo
ina maana huyu bi dada hadi harusi inafanyika hajawai kuwaona ndugu wa car washer?
kufunga ndoa ina mlolongo mrefu huwezi fake maisha utajulikana tu
ni uongo tu unadhani inawezekana? huyu kaamua kutuletea story tu tupoteze mda ili magufuli ashindwe kutimiza malengo yake maana wafanyakazi ni sisi wenyewe sasa tukiwa busy na huu ujinga miaka mitano inaisha hakuna kitu amefanya
 
Ulimbukeni mwingine bwana...hivi unakubali kuolewa bila kumfahamu mwenzio kiundani...mmmh...
Chezea kuahidiwa utapewa gari,mrembo akachanua kabisa huku akisikilizia utamu wa mkwaju huku anaahidiwa kagari kadogo ka kutesea wanoko.
 
Huyo mkaka aliona kua mdada ana uwezo! Wanaume wengine wanatafuta wanawake wakuwalea kwa udi na uvumba!
Pole yake! Mi mwanaume simuamini anachoongea kwa mdomo wake kuhusu yeye mpaka nichunguze mwenyewe.
Wewe Msega ndio ukafanyaje kule faragha?,yaani umejiangusha na kujichoresha mrembo wewe au vipi?,lakini ulijisikiaje?
 
Kwani cheti chao cha ndoa kimeandikwa anafanya kazi gani na ana elimu gani?
 
Uchumba wa miezi mitatu alafu unafunga ndoa umemstahi sana mkuu mm angekula kwanza mabanzi arafu nikamtimua
 
Mama mzima una danganywa na magari at your age bado una akili za kitoto hivyo. Acha akudanganye tu
 
stori yako nzuri nimeipenda andaa mwendelezo
 
Ha ha haha mwambie ma. Car washer mko. Wa viwango tofaut mkuu ila kwa huyo alie nae ni third version ya car washer
Mule mule...kuna wazibua vyoo mjini wana maisha yaliyosimama kuliko wafanyakazi wa benki so kupanga ni kuchagua inawezekana kweli huyu mwocha magari wake ni daraja la tatu!
 
ni uongo tu unadhani inawezekana? huyu kaamua kutuletea story tu tupoteze mda ili magufuli ashindwe kutimiza malengo yake maana wafanyakazi ni sisi wenyewe sasa tukiwa busy na huu ujinga miaka mitano inaisha hakuna kitu amefanya

Naona unajitaidi kubishaNa na uzoefu wa kazi za watu??
 
Back
Top Bottom