soma bachelor of accounting and finance au bachelor of science in economics achana na hayo mambo ya NIT soma kitu kinachoelewekaHabari zenu
Naulizia hapa wapi panafaa niende kusoma na penye unafuu wa soko la ajira
Bachelor degree in accounting and transport finance-NIT
Bachelor degree in Banking and finance -CBE
Uchumi huwa ni kozi ya kueleweka Mkuu wangu naomba muongozo wako!?soma bachelor of accounting and finance au bachelor of science in economics achana na hayo mambo ya NIT soma kitu kinachoeleweka
ndio economics imenyokaUchumi huwa ni kozi ya kueleweka Mkuu wangu naomba muongozo wako!?
Kuna tofauti ipi kati ya Bsc in Economic na Bart in Economic!?ndio economics imenyoka