Ushaur nifanyaje

Ushaur nifanyaje

Pole, ila kwanza Kabisa kubali ukweli kuwa mmeachana usilazimishe akili iamini tofauti utajiumiza, Pili kuwa serious na mambo mengine muhimu muda huwa haurudi nyuma usipoteze hata sekunde kumfikiria mtu anayeweza kukupoteza muda wowote. Unamengi ya kufanya ambayo yatakuletea mtu sahihi zaidi
 
Hakuna malengo hapo mnapotezeana muda, take it from me next time jaribu kua na mtu wa dini yako hilo moja

Pili hujataka kukuubali ukweli kama ndio hivyo tena, utapoa moyo ukikubali kua umeachana naye, tena ona kabisa hakua fungu lako umepangiwa

Kubali matokeo mwisho wa siku lazima maisha yasonge

Kama ulivyisema mapenzi sio vita wala kulazimishana why uendelee kujiliza liza na mtu kashakwambia ukweli??

Wanawake ni wengi sana huko as long as uko hai utakuja kupata mwengine had umuulize alikokua mpaka unakumbana na watu wa hovyohovyo
jambo ambolo nakukosoa katika yote uliyo coment eti hakuna mapenzi kati ya mtu mwenye dini fulani na dini lingine. Nani aliyekwambia mtu anaoa au kuolewa na dini. Dini inahusika vipi ktk mapenzi. Mbona nimeshuhudia watu wengi wakioana wakiwa dini tofauti hata mimi pia mbona nimzaliwa na wazazi wenye dini tofauti.
 
Hii line ya mwisho nimeipenda mkuu
 
Pole, ila kwanza Kabisa kubali ukweli kuwa mmeachana usilazimishe akili iamini tofauti utajiumiza, Pili kuwa serious na mambo mengine muhimu muda huwa haurudi nyuma usipoteze hata sekunde kumfikiria mtu anayeweza kukupoteza muda wowote. Unamengi ya kufanya ambayo yatakuletea mtu sahihi zaidi
asante sana mkuu kwa ushaur, unanipa ujasiri na nmejifunza kitu
 
Mapenzi yanawatesa wageni wa mapenzi.
utafikiri mpenzi wa DAWA.
 
jambo ambolo nakukosoa katika yote uliyo coment eti hakuna mapenzi kati ya mtu mwenye dini fulani na dini lingine. Nani aliyekwambia mtu anaoa au kuolewa na dini. Dini inahusika vipi ktk mapenzi. Mbona nimeshuhudia watu wengi wakioana wakiwa dini tofauti hata mimi pia mbona nimzaliwa na wazazi wenye dini tofauti.
ni kwel dini sio mapenzi ila tatzo linakuja pale mtashindwa kuelewana kuwa kitu kimoja, sababu kila mmoja atakuwa anaamini dini yake ni bora kuliko ya mwenzake.
 
Ni mara chache ya mtu mwenye dini tofaut kufikia hatua ya kuoana asilimia kubwa hawafiki hata huko, hata me nimeshayaona penginr yamenikumba who knows
 
ni kwel dini sio mapenzi ila tatzo linakuja pale mtashindwa kuelewana kuwa kitu kimoja, sababu kila mmoja atakuwa anaamini dini yake ni bora kuliko ya mwenzake.
Mnaweza mkakubaliana na itokee kutojiamini pia haya mambo ya dini ni heri upate wa dini yako kuepuka hivi vitu nakushauri.
 
asante sana madam ushaur wako unanipa confidence ya kusahau yote na kusonga mbele, kikubwa uhai
 
Kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ni dhambi itakayotuangamiza wengi. Sometimes tunajaribu kuikimbia dhambi hii, lakini inakuwa ngumu naona bwana shetani kwenye ulimwengu wa mapenzi anashirikiana vizuri kabisa na wanawake. Unaweza kupata mtoto wa kike mzuri wa kumuweka ndani kwa misingi ya dini ukaapa huwezi kumtafuna bila kumuoa, unafanya kila kitu kuweka karibu na upendo wako, lakini mwisho wa siku ni maumivu tu... Nimegundua wanawake wa siku hizi ukidate nae bila kumvua chupi ukapiga mambo anakuona wa ajabu sana bonge la fala tena mbaya akishapata kidume cha mkuna basi wewe mwenye malengo mazuri huna tena chako utaonekana hujui mapenzi tu.
 
Usifikirie kuwa ni kweli huyo demu wako alikuwa hataki dyu dyu

na wewe kama kweli hukutaka kabisa dyudyu katest vipimo vya mkojo maana nina uhakika tatizo lilianzia hapo
 
zingatia masomo dogo.....wanawake ni maua,,, kila kuchapo yanachanua......huyo mpe na zawadi ya kuachana........ila jua alikuwa na mashaka na uvulana wako...!!!
 
Kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa ni dhambi itakayotuangamiza wengi. Sometimes tunajaribu kuikimbia dhambi hii, lakini inakuwa ngumu naona bwana shetani kwenye ulimwengu wa mapenzi anashirikiana vizuri kabisa na wanawake. Unaweza kupata mtoto wa kike mzuri wa kumuweka ndani kwa misingi ya dini ukaapa huwezi kumtafuna bila kumuoa, unafanya kila kitu kuweka karibu na upendo wako, lakini mwisho wa siku ni maumivu tu... Nimegundua wanawake wa siku hizi ukidate nae bila kumvua chupi ukapiga mambo anakuona wa ajabu sana bonge la fala tena mbaya akishapata kidume cha mkuna basi wewe mwenye malengo mazuri huna tena chako utaonekana hujui mapenzi tu.
umesema kwel mkuu
 
Back
Top Bottom