Ushaur nifanyaje

Ushaur nifanyaje

Hukuwahi kupiga mambo afu unadai ulikuwa na mpenzi, huyo alikuwa rafiki tu unashindwa vipi kumsahau?
 
kuachana ni jambo la kawaida eh??
Naona umeniamulia bae!

Iko hiv, mtu unaona kabisa haeleweki anatoa signs unaona hapa hamna mahala tunafika why uendelee kukaa? Hilo ndio kosa tunafanyaga kukaa kwenye mahusiano yasiofaa kwa mda mrf

Wakat mwengine watu tunaowaona ndoo sahihi kwetu ndio watu ambao tunapaswa kuishi bila wao

Kuachana kunauma natambua, nimeshatokea huko lakini inafikia hatua unaona huna maamuzi ndio hayo pekee

So unakubaliana na hali unakija ona kawaida tu
 
sasa unamuchaje mtu unaempenda??
 
ni kwel kabisa tatzo ukwel mchungu huwa hatutaki kukubali ukwel
 
Kosa lako kubwa ni kuacha kumtafuna..
Hili tendo la ndoa linaimarisha mahusiano sana..
Usirudie tena kumuacha dem mwingine bila kumtafuna
 
sasa unamuchaje mtu unaempenda??
Hahahahhaa babe, nakupenda uniletee napicha picha,nakuvumilia tu badala ukue mwema unaendelea na kuzidisha ujinga ntakuacha nina moyo wa dam haupump maji
 
Fanya yako mkuu..huko kupenda naona ni wewe tu unajifanyisha..watu tushapigwa vibuti na watoto wakali hatari tuliokuwa tunawaelewa but lives goes on kama kawa
 
Back
Top Bottom