At least there is one row which is as amusing at it is harmless - the kerfuffle over the vuvuzela, the long plastic trumpet which makes an incredible din when thousands are blown simultaneously. The sound equivalent to a swarm of angry bees has invited the wrath of European broadcasters, with one Dutch journalist asking Sepp Blatter whether Fifa could ban the instruments because they made it hard to work.
"It's a local sound and I don't know how it is possible to stop it," the Fifa boss replied. "This is Africa - it's noisy, it's energy, rhythm, music, dance, drums. We have to adapt.''
I think what Blatter replied is the best answer that these muzunguz need to learn. They will see more than that vuvuzela.
SHADOW,Kwa wale wana wanaofuatilia kombe la mabara huko Afrika ya Kusini, kumekuwa na ushangiliaji wa namna ya kipee wa kutumia kifaa cha 'plastic' kama tarumbeta yaani 'Vuvuzelaz'. Je, Kelele kama hizi za wazungu ni kuonyesha ubaguzi au uelewa mdogo wa tamaduni za mwafrika?
Wategemee mengi katika ushangiliaji wa kiafrika!!
Ushangiliaji ule unaboa na yale makelele yanaondoa utamu wa natural sounds za watu!!! footballing atmosphere is good when its real... Unakumbuka wakati wadogo tunatangaza mpira kwa vipaza sauti hewa??? tulikuwa tunatumia hewa ku-imitate watazamaji!!!
Vuvuzela sucks!!!
Hakuna suala la uzungu wala uafrika hiyo midude ikizidi inaboa sana, mikelele kama hiyo inapunguza raha ya mpira wenyewe...noise polution tu aaaaaggghhhhhhhhrrrrr!!!!!!
SHADOW,
Tegemea vioja vingi zaidi wakati wa Kombe la dunia mwakani.
Ushangiliaji ule unaboa na yale makelele yanaondoa utamu wa natural sounds za watu!!! footballing atmosphere is good when its real... Unakumbuka wakati wadogo tunatangaza mpira kwa vipaza sauti hewa??? tulikuwa tunatumia hewa ku-imitate watazamaji!!!
Vuvuzela sucks!!!
huku kupenda uzngu huku, shida sana na ndo mana hatuendi mbele kisa kujifanya wazungu..... my foot!!!
Loh! Hatari tupu!
My foot babaako!!!
Guys,
Kama hujawahi kuwepo huko south ukasikia wanavyoshangilia vizuri na kuwa happy utaendelea kuona ni kelele! Lakini these guys wako vizuri sana na hiyo stail yako. It can be also seen in Namibia and Botswana. Those guys know how to make life better.
Huyo Journalist hana lolote. He/she should be able to experience the difference. Nimependa sana jibu la mkulu
"This is Africa - it's noisy, it's energy, rhythm, music, dance, drums. We have to adapt.''
Kama huyo mwandishi hakupendezwa then aondoke zake this is how we do things down here. It is our culture. Huwezi kuja tu na kutaka mambo yako kwenye nyumba za watu.
Walisema ukinda kwa wenye chongo vunja lako jicho. Brovo RSA. Mwandishi akizoea atapenda. Hakuna jamaa yuko hapo ampeleke kwenye zile traditional songo anazo chezaga ZUMA aone how fantastic they are?
huku kupenda uzngu huku, shida sana na ndo mana hatuendi mbele kisa kujifanya wazungu..... my foot!!!
Tutakwisha, utafikiri tumelogwa bwana, mzungu akijamba kinanukia, Mwafrika kinanuka. Ni upofu wa kufikiri huu