Hiyo SPB shell umeipataje? Nipe maujanja maana kwenye Android market au Google play inauzwa Usd 14 na ushee.
kuna app inaitwa blackmart alpha!! apps zooote almost 80% unazoziona zinauzwa kwenye Google play! pale unazikuta cracked free!!! ... now nipo na shughuli baadaye ntakuja ku attach hiyo app! nimeicheki spb shell kwenye blackmart alpha ishakuwa craked ni free!
mimi nina kasimu kama ka lani tano hivi,
kana kila kitu na nakapenda sana.
ila nikipata ka bei kubwa zaidi nitafurahi sana.
Nina laptop na modem lakini simu yangu inanifanya nisione umuhimu wa hivyo.
Kwenye hii simu nina Microsoft office 2010
Opera Mobile 10
Internet exploler
Radio
Currency converter ya kila fedha internet based SPB SHELL
facebook application
Twitter application
Myspace ''
Operating system yake ni Microsoft Windows Phone 7.5
Adobe reader
Bei yake kwa Dar 1.6 M
japo kwa sasa inaweza patikana hata kwa milion 1.3
na ina mambo mengi sana na kii kipana sana kama palm top.
MIMI BORA UNINYIME KOMPUTER ILA SIMU IWEPO TENA SIMU NZURI SANA HATA IWE YA 3M NITANUNUA.
mtoa mada huna hoby na simu au hujui pocket technology.
Hapa nadhan hoja si ushamba bali interest.
kijana usikurupuke utaonekana mshamba wewe.......mi napiga hadi autocad ktk galaxy note yangu yani pdf. word,excel, kifupi kazi zangu zote naweza fanya ktk simu achilia mbali burudani kama mpira mi nachek live....sasa hebu niletee hiyo ya elfu hamsini uone kama itafanya hata kimoja hapa.....ebo!!!!
Mi nafikiri lengo la kuwa na simu ni kuwa na uwezo wa kutuma ujumbe mfupi, uwezo wa kuwasiliana na mtu wa pili kwa haraka kwa ajili ya maongezi, labda tuweke na matumizi ya Internet ambapo unaweza kuhabarisha watu na kupata taarifa mbalimbali kama za hapa JF. Lakini mi point yangu ni kwaba kweli kuna ulazima wa kuwa na simu ya bei mbaya sana kuanzia laki 3 na kuendelea wakati unaweza kupata simu yenye hizo huduma zote kwa elfu 50 mpaka laki??, huu sio ushamba kweli!!, kinachofurahisha zaidi hao wanaotengeneza hizo simu wenyewe hata hawazitumii hizo za bei mbaya!!!,
Utakuuta mtu una simu ya milioni moja halafu anasema maisha magumu!!.
We acha kutudanganya hapa, nani asiyeijua autocad? kwanza laptop yenyewe tu ya 17" ni kazi kwa autocad inahitaji Big screen. Nyie ndo washamba yahani unakuta mtu maisha yake yote anafikiria vitu ambavyo havina faida kwa jamii na familia yake. Kijijini kwenu ndugu zako hata hela ya chumvi sabuni hawana leo eti unajitamba unamiliki galax, wazazi wako wanaishi kwenye nyumba ya udongo na imeezekwa na nyasi. Hapa mjini watu wanajidanganya sana.
Nina laptop na modem lakini simu yangu inanifanya nisione umuhimu wa hivyo.
Kwenye hii simu nina Microsoft office 2010
Opera Mobile 10
Internet exploler
Radio
Currency converter ya kila fedha internet based SPB SHELL
facebook application
Twitter application
Myspace ''
Operating system yake ni Microsoft Windows Phone 7.5
Adobe reader
Bei yake kwa Dar 1.6 M
japo kwa sasa inaweza patikana hata kwa milion 1.3
na ina mambo mengi sana na kii kipana sana kama palm top.
MIMI BORA UNINYIME KOMPUTER ILA SIMU IWEPO TENA SIMU NZURI SANA HATA IWE YA 3M NITANUNUA.
mtoa mada huna hoby na simu au hujui pocket technology.
Hapa nadhan hoja si ushamba bali interest.
We acha kutudanganya hapa, nani asiyeijua autocad? kwanza laptop yenyewe tu ya 17" ni kazi kwa autocad inahitaji Big screen. Nyie ndo washamba yahani unakuta mtu maisha yake yote anafikiria vitu ambavyo havina faida kwa jamii na familia yake. Kijijini kwenu ndugu zako hata hela ya chumvi sabuni hawana leo eti unajitamba unamiliki galax, wazazi wako wanaishi kwenye nyumba ya udongo na imeezekwa na nyasi. Hapa mjini watu wanajidanganya sana.
Tukianza kufatilia mambo ya anasa ni mengi sana,
Kwa mfano. Mtu unaish kwenye nyumba kuuubwa peke yeko,
ni kwa nini usijenge chumba kimoja chakukutosha?
Mtu m1 unamiliki nguo nyiingi kwa nini usiwe na nguo 6 tu?suruali 3 shati 3 kwisha,
Mtu m1 anamiliki kochi set nzima,
kwa nini usichonge stuli moja tu ya kukalia wewe mwenyewe?
Tehe tehe tehe tehe ntarudi baadae.
Huyu jamaa hanaweza kukwambia kwa nini usitumie simu ya laki moja halafu hizo laki nne ununue magunia ya mahindi.
Mkuu huduma ya GPS haitoki kwenye minara ya simu..ni sattelite angani.kinachotakiwa ni gadget yakoKwel i kabisa, ila tuchukulie mfano wa hapa Bongo. Blackberry, iPhone, na other smart phones zina umuhimu gani wakati there's no GPS technology in here, na internet yenyewe tunaibiwa ama kupunjwa na phone companies, si ujinga huu? Sawa mtu una fursa ya kupenda ukipendacho lakini many times naona sie Watz ni mbumbumbu kweli. Utakuta mtu anaendesha gari hana gas/petroli analalamikia washikaji baa kuwa hana hela, mtu huyo huyo anaona fahari kutoa simu ya Blackberry na kuiweka mezani ili washikaji wamuone ana Blackberry...jamani ni ulimbukeni ama?