Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Pole my dear! Pia hua wanagawa soda moja moja kwa kila abiria!
Ila wiki hii palikua na tatizo nje ya uwezo wao hawajatoa.
Bt wameanza kutoa leo, na wale wote ambao hamkupewa soda zenu mnaruhusiwa mkadai.
Rudia soda yako mpendwa!
SI unit... wewe ni ME au KE !?????:A S 39:ukiwa na safari next time nistue twende pamoja nami nikaoshe macho na kutoa ushamba basi ladyfurahia
Hivi inawezekana vipi mtu na mkewe wakaa mji mmoja na hawajatiana machoni mwaka mzima??
Wala usifedheheke mwaya. Kuna wapare walienda kwa watu wakapewa soda. Mmoja akaondoka na kisoda mfukoni. Kufij Njiani anamuambia mwenzie nimeiba mbegu nikapande, kitu kitamu sana kile.
Wengi huwa tunachemka tu mwanakwetu.
Dunia hii huwezi kuvijua vyote!
pole ladyfurahia ila si ushamba bhana, kila kitu kinamara yake ya kwanza. Mara nyingine utakuwa mjanja
Umenifurahisha lady, usiku mwema
ni kweli best nimeipendea signature yako yaani imetulia
watu wenye wivu hutawajua tu kwani kukaa mbali kunakuuma nini wewe, kukaa karibu kunakuuma nini sisi ni watu watafutaji wa shekeli hivyo ukiona hivyo ujue tunatafuta kwanza shekeli na ndipo tutumie kwa raha zetu ondoa wivu kaka jamani
Asante mamitto.
Someone else alinipatia, nami nilipoitafakari nikaipenda sana that's why nikaiweka as a signature!
Patna mie kumbuka weye...kwema!
Aaah huku kwema kabisa patna sijui kwenu huko!
Habari za masiku?
Ha ha ha ha ha ha, atakuja shemeji usijalimwenzangu ndo mambo yaliyonikuta mwenzio kwani natamani kwenda tena, labda mtu anisindikize ndo ntaenda mie au aje mwenyewe laazizi mentor huku bara mm mambo ya pwani siyawezi,
Twaendelea salama tu mdada...siku njema patna wangu!!!
Karibu geza ulole....ndo kwangu.....next time dear
walah simini nikionacho hapa !!!!best mhiii usintolee uvivu hivi ntaacha kuingia jf walahHuwa napata tabu sana kung'amua uwezo wa medula oblongata yako...kupanda tu kivuko basi wataka ulimwengu mzima ujue eboh!!!! je ukikutana na kina Mandingo na ukipewa "a horse ride" na kupandishwa vilele vyote ulimwenguni si ndio utawehuka kama mwendawazimu...
Out of 100% from u, 90% are non-sense!!!
Na nilishakuomba usini-quote wala kuni-mention maana huna hadhi hiyo plus wanifanya nipate wakati mgumu kukuelewa...
Hivyo nakuomba tu kiroho safi tu...acha kunifuatilia!!!
Swali hujaulizwa wewe, lakini umekuja haraka kama kojo la asubuhi kutaka kunijibu, dada eenh ningeona umuhimu kukuuliza wewe si ningelekeza swali kwako???
Una nini haswa cha mimi kukuonea wivu wewe??? hebu shika adabu yako tafadhali eenh uwe mstaarabu pale unapoheshimiwa kumbuka unaweza kuwa waongea na baba yako hapa ni vile tu tunatumia haya majina batili.
walah simini nikionacho hapa !!!!best mhiii usintolee uvivu hivi ntaacha kuingia jf walah