mrs fiance
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 352
- 163
Kwa kweli nimekuwa mshamba ATM machine .mpaka naogopa kufungua account Bank. Nawe ulikuwa mshamba Kama mm???kinachonitatiza kwenye kitambulisho cha bank zile number nyingi. Mtu nyoyote anaweza kuziona au ni siri.na kwa ujumla mm ni mshamaba.na Kama MTU anataka kukuingizia hela bank in number zipi unampa ili akutumie?.hela zangu nahifadhigi kwa cm tu. Kwa wanao jua naombe saada