OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,238
- 103,898
thread closedMkuu mimi ni Simba dam dam ila tukiongea kihalisia hilp goli ni offside. Tuweke ushabiki pembeni. Labda kama wengine hatujui kutafsiri sheria ya offside.
Sasa basi, hii sheria inaangalia position ya mcheza alipokuwa wakati pass inatoka kwa aliempa assist. Ukiangalia hapo wakati Shiboub anaupiga mpira kichwa tayari beki yule alishatengeneza offside trap na Kagere akawa ameshaotea.
Mimi sio mnafki kwenye ukweli nakuwa mkweli. Simba tumeshinda nimefurahi tumeongeza point tatu. Lakini kama referee/lineman angekuwa makini au pangekuwepo VAR lile lisingekuwa goli.
Pia mashabiki wa team pinzani nawaomba mjifunze mpira. Msiilaumu Simba kwa goli lile, sana sana mlaumu waamuzi kwa kutoona hiyo offside lakini pia kabla hamjamlaumu mwamuzi mjue kuwa na yeye ni binadamu.
Kama uliwahi kucheza mpira angalau level ya kufundishwa na waalimu, tulikuwa tunasisitizwa kucheza kwa kufuata kipyenga/filimbi na sio kelele za wapinzani au mashabiki. Meddie alicheza kwa kufata kipyenga/filimbi.
Simba Nguvu Moja.
Labda haukutazAma kwa umakini maana kagere ame move mpira ukiwa umepigwa kama ange move kabla ya mpira ingekuwa offside lakini kamove baada ya mpira.Mkuu mimi ni Simba dam dam ila tukiongea kihalisia hilp goli ni offside. Tuweke ushabiki pembeni. Labda kama wengine hatujui kutafsiri sheria ya offside.
Sasa basi, hii sheria inaangalia position ya mcheza alipokuwa wakati pass inatoka kwa aliempa assist. Ukiangalia hapo wakati Shiboub anaupiga mpira kichwa tayari beki yule alishatengeneza offside trap na Kagere akawa ameshaotea.
Mimi sio mnafki kwenye ukweli nakuwa mkweli. Simba tumeshinda nimefurahi tumeongeza point tatu. Lakini kama referee/lineman angekuwa makini au pangekuwepo VAR lile lisingekuwa goli.
Pia mashabiki wa team pinzani nawaomba mjifunze mpira. Msiilaumu Simba kwa goli lile, sana sana mlaumu waamuzi kwa kutoona hiyo offside lakini pia kabla hamjamlaumu mwamuzi mjue kuwa na yeye ni binadamu.
Kama uliwahi kucheza mpira angalau level ya kufundishwa na waalimu, tulikuwa tunasisitizwa kucheza kwa kufuata kipyenga/filimbi na sio kelele za wapinzani au mashabiki. Meddie alicheza kwa kufata kipyenga/filimbi.
Simba Nguvu Moja.
Basi mkuu kama sio shabiki wa mpira itakua ngumu kwako kuitafsiri sheria ya offside..............mimi si shabiki wa mpira.
Kama si shabiki wa mpira unatafuta nini sasa hapa we mbumbumbuLabda haukutazAma kwa umakini maana kagere ame move mpira ukiwa umepigwa kama ange move kabla ya mpira ingekuwa offside lakini kamove baada ya mpira.
Mpira umemtangulia kagere mimi si shabiki wa mpira.
Basi mkuu kama sio shabiki wa mpira itakua ngumu kwako kuitafsiri sheria ya offside.
Mpira tunaaongea hapa sio wakati unapigwa kwa mguu bali baada ya kupigwa kwa mguu ukamfikia aliepiga kwa kichwa, sasa tunachoongelea hapa ni wakati mpira unatoka kichwani mwa alieupiga. Hapo angalia position alioko Kagere.
Ukweli mchunguMkuu mimi ni Simba dam dam ila tukiongea kihalisia hilp goli ni offside. Tuweke ushabiki pembeni. Labda kama wengine hatujui kutafsiri sheria ya offside.
Sasa basi, hii sheria inaangalia position ya mcheza alipokuwa wakati pass inatoka kwa aliempa assist. Ukiangalia hapo wakati Shiboub anaupiga mpira kichwa tayari beki yule alishatengeneza offside trap na Kagere akawa ameshaotea.
Mimi sio mnafki kwenye ukweli nakuwa mkweli. Simba tumeshinda nimefurahi tumeongeza point tatu. Lakini kama referee/lineman angekuwa makini au pangekuwepo VAR lile lisingekuwa goli.
Pia mashabiki wa team pinzani nawaomba mjifunze mpira. Msiilaumu Simba kwa goli lile, sana sana mlaumu waamuzi kwa kutoona hiyo offside lakini pia kabla hamjamlaumu mwamuzi mjue kuwa na yeye ni binadamu.
Kama uliwahi kucheza mpira angalau level ya kufundishwa na waalimu, tulikuwa tunasisitizwa kucheza kwa kufuata kipyenga/filimbi na sio kelele za wapinzani au mashabiki. Meddie alicheza kwa kufata kipyenga/filimbi.
Simba Nguvu Moja.
Nimetazama kwa umakini mkubwa na kwa utulivu gori la Kagere,nimejiridhisha kuwa Kagere alikuwa onside.
Tazama wakati Shibob anapiga kichwa huku beki alikuwa amemkaba Kagere akimchomoka kutengeneza offside.
Nawapa heko waamuzi wote kwa umakini ambao hata mimi uliniweka njia panda
"gori" ndiyo nini?

Ktk sheria ya kuoteaMkuu mimi ni Simba dam dam ila tukiongea kihalisia hilp goli ni offside. Tuweke ushabiki pembeni. Labda kama wengine hatujui kutafsiri sheria ya offside.
Sasa basi, hii sheria inaangalia position ya mcheza alipokuwa wakati pass inatoka kwa aliempa assist. Ukiangalia hapo wakati Shiboub anaupiga mpira kichwa tayari beki yule alishatengeneza offside trap na Kagere akawa ameshaotea.
Mimi sio mnafki kwenye ukweli nakuwa mkweli. Simba tumeshinda nimefurahi tumeongeza point tatu. Lakini kama referee/lineman angekuwa makini au pangekuwepo VAR lile lisingekuwa goli.
Pia mashabiki wa team pinzani nawaomba mjifunze mpira. Msiilaumu Simba kwa goli lile, sana sana mlaumu waamuzi kwa kutoona hiyo offside lakini pia kabla hamjamlaumu mwamuzi mjue kuwa na yeye ni binadamu.
Kama uliwahi kucheza mpira angalau level ya kufundishwa na waalimu, tulikuwa tunasisitizwa kucheza kwa kufuata kipyenga/filimbi na sio kelele za wapinzani au mashabiki. Meddie alicheza kwa kufata kipyenga/filimbi.
Simba Nguvu Moja.
Ile pasi ingekuwa imetoka mojakwamoja kwa yule aliyepiga kwa mguu isingekuwa offside lakini kitendo cha kupitia kwa yule aliyepiga kichwa tayari meddie alikuwa kaotea, nakuunga mkono ingekuwa var mechi ingeisha kwa sareMkuu mimi ni Simba dam dam ila tukiongea kihalisia hilp goli ni offside. Tuweke ushabiki pembeni. Labda kama wengine hatujui kutafsiri sheria ya offside.
Sasa basi, hii sheria inaangalia position ya mcheza alipokuwa wakati pass inatoka kwa aliempa assist. Ukiangalia hapo wakati Shiboub anaupiga mpira kichwa tayari beki yule alishatengeneza offside trap na Kagere akawa ameshaotea.
Mimi sio mnafki kwenye ukweli nakuwa mkweli. Simba tumeshinda nimefurahi tumeongeza point tatu. Lakini kama referee/lineman angekuwa makini au pangekuwepo VAR lile lisingekuwa goli.
Pia mashabiki wa team pinzani nawaomba mjifunze mpira. Msiilaumu Simba kwa goli lile, sana sana mlaumu waamuzi kwa kutoona hiyo offside lakini pia kabla hamjamlaumu mwamuzi mjue kuwa na yeye ni binadamu.
Kama uliwahi kucheza mpira angalau level ya kufundishwa na waalimu, tulikuwa tunasisitizwa kucheza kwa kufuata kipyenga/filimbi na sio kelele za wapinzani au mashabiki. Meddie alicheza kwa kufata kipyenga/filimbi.
Simba Nguvu Moja.
Hawaangalii umemove wakati gani wanaangalia wakati mpira unatoka kwa mtu wa mwisho kwenda kwa mfungaji mfungaji alikuwa position ipi,Labda haukutazAma kwa umakini maana kagere ame move mpira ukiwa umepigwa kama ange move kabla ya mpira ingekuwa offside lakini kamove baada ya mpira.
Mpira umemtangulia kagere mimi si shabiki wa mpira.
Achana nao hao, hawa ndio walisema salah alikuwa offside wakati anafunga vs man uBasi mkuu kama sio shabiki wa mpira itakua ngumu kwako kuitafsiri sheria ya offside.
Mpira tunaaongea hapa sio wakati unapigwa kwa mguu bali baada ya kupigwa kwa mguu ukamfikia aliepiga kwa kichwa, sasa tunachoongelea hapa ni wakati mpira unatoka kichwani mwa alieupiga. Hapo angalia position alioko Kagere.
Mimi nimeona mkuuMkuu huwezi ona marginal offside kwa video kama hiyo.