Ushahidi wa Video: Gori la Kagere dhidi ya Namungo sio offside

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
35,314
2,000

Nimetazama kwa umakini mkubwa na kwa utulivu gori la Kagere,nimejiridhisha kuwa Kagere alikuwa onside.

Tazama wakati Shibob anapiga kichwa huku beki alikuwa amemkaba Kagere akimchomoka kutengeneza offside.

Nawapa heko waamuzi wote kwa umakini ambao hata mimi uliniweka njia panda
 
Rukube

Senior Member
May 9, 2018
170
500
Chuma kimesha ingia kama wanaweza wachomoe
tapatalk_1579206440270.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
16,552
2,000
Mkuu mimi ni Simba dam dam ila tukiongea kihalisia hilp goli ni offside. Tuweke ushabiki pembeni. Labda kama wengine hatujui kutafsiri sheria ya offside.

Sasa basi, hii sheria inaangalia position ya mcheza alipokuwa wakati pass inatoka kwa aliempa assist. Ukiangalia hapo wakati Shiboub anaupiga mpira kichwa tayari beki yule alishatengeneza offside trap na Kagere akawa ameshaotea.

Mimi sio mnafki kwenye ukweli nakuwa mkweli. Simba tumeshinda nimefurahi tumeongeza point tatu. Lakini kama referee/lineman angekuwa makini au pangekuwepo VAR lile lisingekuwa goli.

Pia mashabiki wa team pinzani nawaomba mjifunze mpira. Msiilaumu Simba kwa goli lile, sana sana mlaumu waamuzi kwa kutoona hiyo offside lakini pia kabla hamjamlaumu mwamuzi mjue kuwa na yeye ni binadamu.

Kama uliwahi kucheza mpira angalau level ya kufundishwa na waalimu, tulikuwa tunasisitizwa kucheza kwa kufuata kipyenga/filimbi na sio kelele za wapinzani au mashabiki. Meddie alicheza kwa kufata kipyenga/filimbi.

Simba Nguvu Moja.
 
Mchemiaa

Senior Member
Jan 7, 2018
168
250

thread closed

Sent using Jamii Forums mobile app
 
impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,134

Labda haukutazAma kwa umakini maana kagere ame move mpira ukiwa umepigwa kama ange move kabla ya mpira ingekuwa offside lakini kamove baada ya mpira.

Mpira umemtangulia kagere mimi si shabiki wa mpira.
 
Chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
16,552
2,000
.............mimi si shabiki wa mpira.
Basi mkuu kama sio shabiki wa mpira itakua ngumu kwako kuitafsiri sheria ya offside.

Mpira tunaaongea hapa sio wakati unapigwa kwa mguu bali baada ya kupigwa kwa mguu ukamfikia aliepiga kwa kichwa, sasa tunachoongelea hapa ni wakati mpira unatoka kichwani mwa alieupiga. Hapo angalia position alioko Kagere.
 
mtzmweusi

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
7,165
2,000
Tena ni offside ya wazi kabisa
Basi mkuu kama sio shabiki wa mpira itakua ngumu kwako kuitafsiri sheria ya offside.

Mpira tunaaongea hapa sio wakati unapigwa kwa mguu bali baada ya kupigwa kwa mguu ukamfikia aliepiga kwa kichwa, sasa tunachoongelea hapa ni wakati mpira unatoka kichwani mwa alieupiga. Hapo angalia position alioko Kagere.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Smt016

JF-Expert Member
Jan 11, 2016
1,624
2,000
Mkuu mimi ni Simba dam dam ila tukiongea kihalisia hilp goli ni offside. Tuweke ushabiki pembeni. Labda kama wengine hatujui kutafsiri sheria ya offside.

Sasa basi, hii sheria inaangalia position ya mcheza alipokuwa wakati pass inatoka kwa aliempa assist. Ukiangalia hapo wakati Shiboub anaupiga mpira kichwa tayari beki yule alishatengeneza offside trap na Kagere akawa ameshaotea.

Mimi sio mnafki kwenye ukweli nakuwa mkweli. Simba tumeshinda nimefurahi tumeongeza point tatu. Lakini kama referee/lineman angekuwa makini au pangekuwepo VAR lile lisingekuwa goli.

Pia mashabiki wa team pinzani nawaomba mjifunze mpira. Msiilaumu Simba kwa goli lile, sana sana mlaumu waamuzi kwa kutoona hiyo offside lakini pia kabla hamjamlaumu mwamuzi mjue kuwa na yeye ni binadamu.

Kama uliwahi kucheza mpira angalau level ya kufundishwa na waalimu, tulikuwa tunasisitizwa kucheza kwa kufuata kipyenga/filimbi na sio kelele za wapinzani au mashabiki. Meddie alicheza kwa kufata kipyenga/filimbi.

Simba Nguvu Moja.
Ukweli mchungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Turnkey

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
7,270
2,000
Ligi yetu ni ya ovyo kabisa ...mikia wanabebwa mpaka inachosha...mechi na Azam onside tatu filimbi inapigwa..mechi na Yanga Duma yuko onside kipyenga..Ludovick FA mkabebwa tena..juzi na Namungo..TFF mnakula pesa ya Mo wapeni mikia kombe..sisi tutakuwa tunaenda mazoezini kuangalia mavitu ya Morrison roho kwatu
 
DidYouKnow

JF-Expert Member
Jul 28, 2019
725
1,000
Mkuu huwezi ona marginal offside kwa video kama hiyo.

Nimetazama kwa umakini mkubwa na kwa utulivu gori la Kagere,nimejiridhisha kuwa Kagere alikuwa onside.

Tazama wakati Shibob anapiga kichwa huku beki alikuwa amemkaba Kagere akimchomoka kutengeneza offside.

Nawapa heko waamuzi wote kwa umakini ambao hata mimi uliniweka njia panda
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,233

"gori" ndiyo nini?
 
MLA PANYA SWANGA

JF-Expert Member
Jul 31, 2015
4,882
2,000
Mkuu mimi ni Simba dam dam ila tukiongea kihalisia hilp goli ni offside. Tuweke ushabiki pembeni. Labda kama wengine hatujui kutafsiri sheria ya offside.

Sasa basi, hii sheria inaangalia position ya mcheza alipokuwa wakati pass inatoka kwa aliempa assist. Ukiangalia hapo wakati Shiboub anaupiga mpira kichwa tayari beki yule alishatengeneza offside trap na Kagere akawa ameshaotea.

Mimi sio mnafki kwenye ukweli nakuwa mkweli. Simba tumeshinda nimefurahi tumeongeza point tatu. Lakini kama referee/lineman angekuwa makini au pangekuwepo VAR lile lisingekuwa goli.

Pia mashabiki wa team pinzani nawaomba mjifunze mpira. Msiilaumu Simba kwa goli lile, sana sana mlaumu waamuzi kwa kutoona hiyo offside lakini pia kabla hamjamlaumu mwamuzi mjue kuwa na yeye ni binadamu.

Kama uliwahi kucheza mpira angalau level ya kufundishwa na waalimu, tulikuwa tunasisitizwa kucheza kwa kufuata kipyenga/filimbi na sio kelele za wapinzani au mashabiki. Meddie alicheza kwa kufata kipyenga/filimbi.

Simba Nguvu Moja.
Ktk sheria ya kuotea
Kama mchezaji atamtoroka mpinzani kutengeneza offside huku mpira ukiwa umeshatolewa basi hapo hakuna offside.
Ni sawa na golikipa akirudisha mpira vibaya ukanaswa na wapinzani ikiwa watafunga si offside.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
11,896
2,000
Mkuu mimi ni Simba dam dam ila tukiongea kihalisia hilp goli ni offside. Tuweke ushabiki pembeni. Labda kama wengine hatujui kutafsiri sheria ya offside.

Sasa basi, hii sheria inaangalia position ya mcheza alipokuwa wakati pass inatoka kwa aliempa assist. Ukiangalia hapo wakati Shiboub anaupiga mpira kichwa tayari beki yule alishatengeneza offside trap na Kagere akawa ameshaotea.

Mimi sio mnafki kwenye ukweli nakuwa mkweli. Simba tumeshinda nimefurahi tumeongeza point tatu. Lakini kama referee/lineman angekuwa makini au pangekuwepo VAR lile lisingekuwa goli.

Pia mashabiki wa team pinzani nawaomba mjifunze mpira. Msiilaumu Simba kwa goli lile, sana sana mlaumu waamuzi kwa kutoona hiyo offside lakini pia kabla hamjamlaumu mwamuzi mjue kuwa na yeye ni binadamu.

Kama uliwahi kucheza mpira angalau level ya kufundishwa na waalimu, tulikuwa tunasisitizwa kucheza kwa kufuata kipyenga/filimbi na sio kelele za wapinzani au mashabiki. Meddie alicheza kwa kufata kipyenga/filimbi.

Simba Nguvu Moja.
Ile pasi ingekuwa imetoka mojakwamoja kwa yule aliyepiga kwa mguu isingekuwa offside lakini kitendo cha kupitia kwa yule aliyepiga kichwa tayari meddie alikuwa kaotea, nakuunga mkono ingekuwa var mechi ingeisha kwa sare
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
11,896
2,000
Labda haukutazAma kwa umakini maana kagere ame move mpira ukiwa umepigwa kama ange move kabla ya mpira ingekuwa offside lakini kamove baada ya mpira.

Mpira umemtangulia kagere mimi si shabiki wa mpira.
Hawaangalii umemove wakati gani wanaangalia wakati mpira unatoka kwa mtu wa mwisho kwenda kwa mfungaji mfungaji alikuwa position ipi,
 
nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
11,896
2,000
A
Basi mkuu kama sio shabiki wa mpira itakua ngumu kwako kuitafsiri sheria ya offside.

Mpira tunaaongea hapa sio wakati unapigwa kwa mguu bali baada ya kupigwa kwa mguu ukamfikia aliepiga kwa kichwa, sasa tunachoongelea hapa ni wakati mpira unatoka kichwani mwa alieupiga. Hapo angalia position alioko Kagere.
Achana nao hao, hawa ndio walisema salah alikuwa offside wakati anafunga vs man u
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom