Ushahidi tuhuma za January Makamba

Hivi wewe mbona huwa huna pa kushika?hivi upo act au ccm?angalia njaa isikumalize brother
 
Huyo kapewa agizo tu!

Nakumbuka niliwaambia hapa msije kushangaa hata hiyo press confrerence inafutwa.
Tunamuomba magufuli amtimue kazi huyo makamba maana tayari kesha iaibisha serikali yake
 
Mkuu huyo jamaa ni chumia tumbo mara utamsikia yupo act mara utamsikia anamtetea February
 
Ukiusoma huo utetezi wa muitaliano, unanusa kitu.

Anyway kama ningekuwa Magufuli tayari Makamba ningeshamweka kwenye black box.

Jinsi ya kumfuta kazi, ni lini nimfute kazi, hilo ndo libaki kuwa swali.

The good thing namwona Magufuli kama mtu mwenye ubongo.

Anaonyesha wazi kwamba anahitaji kiongozi kwenye team yake kuwa zaidi ya kutoshikwa na tuhuma.

Hata tetesi juu yako hazipaswi kuwepo.
 
Hiyo barua yenu ni ya Mwaka 2006.

This time around, January Makamba utajamba na kunya hadharani.
 
Inabidi apewe mara 2 ya kile alichotoa yeye
 
I can bet kuwa Huyu mgosi mwenzangu atakaa benchi. Inauma lakini naona Kama halikwepeki. Pole Mbunge wangu . Kaa pembeni ujipange upya . Uje kivingine
 
Duh..kiswahili chako c mchezo
 
Amazing! Huyu muitaliano anaandika kiingereza kizuri tofauti kabisa na lafudhi yake. Yaani hutegemei atakinyoosha hivi. mshana jr hii ni part ya ngapi?
 
Huyo kapewa agizo tu!

Nakumbuka niliwaambia hapa msije kushangaa hata hiyo press confrerence inafutwa.
Ulitaka iweje mbona uongo huwa unajitenga pale ukweli unapodhihili. Tuwe na fikra nyumbufu pale unapoona hoja yako imezidiwa nguvu unakuwa mpole na kujipanga upya.
Hali hii ya kuelewa kuwa jambo hili si la kweli ulilielewa mapema sana kutokana na udhaifu wa hoja yenyewe lakini kwa sababu zenu za kisiasa au chuki binafsi mlishabikia.
Tubadilike tusitawaliwe na chuki.
 


Single ya february finito, tuhangaike na single ya secue sasa hahahahaha...
 
Muitaliano kawekwa sawa sijui kwa gear ipi nina hamu ya kujua.
Maana am sure kapozwa au kapigwa bit.
Baada ya apo tutasikia mengi mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…