Ushahidi Mahakamani

Ushahidi Mahakamani

Mtanzanika

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
2,389
Reaction score
1,131
[TABLE="width: 100%, align: center"]
[TR]
[TD]Shahidi wa tukio la ajali akitoa ushahidi wake mahakamani..na hivi ndivyo ilivyokua:

Mwanasheria: "Ni kweli kwamba uliishuhudia ajali iliyotokea?"


Shahidi: "Ndio niliishuhudia."

Mwanasheria: "Ulikua umbali gani kutoka kwenye tukio la ajali?"

Shahidi: "umbali wa futi 31 na nchi 6 na robo."

Mwanasheria (akidhani atamtia mtegoni shahidi): "Vizuri, Je unaweza kuiambia Mahakama ulijuaje kama umbali huo uliosema ndo wenyewe haswaa?"

Shahidi: "Kwa sababu ajali ilipotokea nilichukua futi ya kupimia nikapima na nilijua some stupid lawyer would ask me that question."
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Back
Top Bottom