Ushahidi : Inawezekana kabisa ukiwa na akili timamu ukawa mfuasi wa Zitto Kabwe?

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,360
11,505
Huwa najiuliz kabisa. Mtu ambaye una elimu nzuri,unajiweza kipesa,kiakili upo timamu.unaweza sema kabisa wewe ni mfuasi wa zitto kabwe?au kigwangala?au kibajaji?

Naamini watanzania wengi wana matatizo ya kiakili yanayosababishwa na umaskini. Zitto wa leo siyo Zitto wa jana. Na Zitto wa Kesho sito Zitto wa Leo.
Screenshot_20200131-165344~2.png
Screenshot_20200131-165344~2.png
 
Siwezi kumshangaa Zitto maana kipindi akina Lissu wanaanzisha harakati za kuwaomba wafadhiri wakate msaada kwa Tanzania hatukuwa tukiitambua rangi halisi ya magufuli

Tulifikiri magufuli hatazuia mikutano ya siasa,ataongeza mishahara ya wafanyakazi,atawafariji waliopatwa na majanga kama yale ya bukoba,hatazuia bunge live,angezuia watu kutekwa na kuuwawa lakini sasa kwa matendo yake ya kishetani yameshajidhirisha kiasi cha hata waliompinga lissu kipindi kile leo inabidi waungane nae
 
Huwa najiuliz kabisa. Mtu ambaye una elimu nzuri,unajiweza kipesa,kiakili upo timamu.unaweza sema kabisa wewe ni mfuasi wa zitto kabwe?au kigwangala?au kibajaji?

Naamini watanzania wengi wana matatizo ya kiakili yanayosababishwa na umaskini. Zitto wa leo siyo Zitto wa jana. Na Zitto wa Kesho sito Zitto wa Leo.View attachment 1342330View attachment 1342330

Kwa wakti huo ZZK alikuwa sahihi kbs lakini si sasa....!!!.
Watz walijua kuwa JPM anapabana na Rushwa na fedha itakayopatikana itakwenda kuboresha maisha ya Watz.
Makosa ya JPM ya kuanza KUNYANYASA WAPINZANI KWA KUZUIA MIKUTANO YA NJE NA NDANI na kutumia Fedha inayopatikana kununua mabomu, bunduki, risasi na magari ya kuwadhibiti Wapinzani kufanya siasa za kistaarabu ilibadilisha mwelekeo wa ZZK na kina Tundu Lissu. HAKUNA MTU MWENYE AKILI TIMAMU ATAKUBALI KUONA MISAADA KAMA YA WB inaletwa na kutumiwa vibaya kuvuruga Demokrasia.

Lakini pia JPM ameondoa imani kwa Watz wengi wakiwemo wana CCM kwa kutumia lugha za kebei na dharau.Madai ya Kusema kwamba TANZANIA NI TAJIRI SANA HAIHITAJI MSAADA WOWOTE BAALI YENYEWE INAWEZA KUWA "DONA KANTRI' nidharau tosha kwa WAFADHILI anao waita MABEBERU.

La mwisho ni Tabia ya JPM ya kuwaona MABEBERU HAWANA MAANA NA KUDAI YEYE HAWEZI KUWAFUATA WAZUNGU(MABEBERU) ILA WAO NDO WATAMFUATA. Ndiyo maana JPM amemaliza muhula wake wa 1 bila ya kwenda UN, WB, UNESCO, USA, CHINA,RUSSIA, JAPAN, GERMANY, FRANCE n.k. Leo ukinyimwa msaada wa 500m UDS unaanza kupiga kelele na kuwalaumu kina ZZK na TL kuwa wanawatumikia mabeberu.

Kama JPM ana hoja apande Dream Liner mpaka WB akaweke hoja mezani ili zipimwe viz'aviz hoja za ZZK ili ikionekana yeye ana hoja WB wampe mtonyo...! Mbona simpo. Kama tatizo ni Ung'eng'e Profedha- Kabundi yupo atakuwa MKALIMANI.
 
Kumbe ukiwa mfuasi wa zitto akili yako inakuwa nzito. Hayo Rais ameyakataza lini na zitto ameandika lini hizo tweets?

Siwezi kumshangaa Zitto maana kipindi akina Lissu wanaanzisha harakati za kuwaomba wafadhiri wakate msaada kwa Tanzania hatukuwa tukiitambua rangi halisi ya magufuli

Tulifikiri magufuli hatazuia mikutano ya siasa,ataongeza mishahara ya wafanyakazi,atawafariji waliopatwa na majanga kama yale ya bukoba,hatazuia bunge live,angezuia watu kutekwa na kuuwawa lakini sasa kwa matendo yake ya kishetani yameshajidhirisha kiasi cha hata waliompinga lissu kipindi kile leo inabidi waungane nae
 
NI bora mfuasi wa zitto au lissu kuliko yule mlopokaji wa majukwaani na kujidai ni dona kantri na kusema hasomeshi wazazi, leo hii anawalilia mabeberu

Hivi leo umtukane jirani yako mwenye uwezo kwa kumwita BEBERU, halafu kesho unakwenda kupiga magoti akupe msaada...!!!Lauda na yeye awe na akili zako za kichizi...!!!
Serikali hii imeanza KUVUNA WALICHOPANDA 2016-2019. Haya ndiyo matokeo ya kudharau watu,Taasisi na Jumuia za Kimataifa, Kunyanyasa watu na kujifanya ati wewe ni tajiri na unaweza kuwapa msaada wale ambao tangu Tanzania ipate Uhuru imekuwa ni tegemeo kwako. Haya ni mambo ya aibu.

Solution hapa ni Utawala wa Awamu hii kukubali makosa na kuomba msamaha, kurekebisha Sheria mbovu walizozitengeneza za kubana wapinzani, wawekezaji,watoto wa kike wanaopewa mimba na wakware bila kusahanu SHERIA MBOVU YA TAKWIMU ambayo mtu akitoa hesabu tofauti na Serikali ati inakuwa ni kosa la jinai...!!!
 
Kama kuwa na mtindio wa akil ni kumtetea Zitto kwa anachotete kuhusu wanafunzi basi Mimi ni mmojawao.tatizo si Zitto ni kwa kuwa yeye ni mpinzani wa ccm Kama angefanya alichofanya Zitto huenda hata hizi kelele zisingekuepo.kwanza adhabu ya kosa la kubaka inamuona kuwa aliyebakwa alifanyiwa hivyo bill hiari yake ndiyo sababu ya mbakaji kufungwa miaka 30.sasa huyu mbakwaji alifanyiwa bila hiari kwa Nini aadhibiwe kwa kuachishwa masomo.haya mbakaji kafungwa na mbakwaji kafukuzwa shule Sasa Nani kapewa haki .ushabiki wa Nani kasema ndiyo nishabakie Mimi cmo.nina mengi ila kwa leo naishia hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ukiwa mfuasi wa zitto akili yako inakuwa nzito. Hayo Rais ameyakataza lini na zitto ameandika lini hizo tweets?
Huwezi kuelewa jinsi tz tulivyo na mtawala wa hovyo pengine kuliko wote kwenye hui ukanda wetu,anazidiwa hata na nkrunzinza kwa uwezo wa kufikiri
 
Wafuasi wa jiwe ndo akili zao zinatakiwa zipimwe, juzi alituaminisha sisi ni donor kantri na hivi karibuni tutaanza kuwauzia marekani na ulaya mitumba ya nguo na viatu na kuwakopesha wazungu, lkn gafla bin vuu kaanza kulilia misaada kwa mabeberu yanayotunyonya.
 
Huwa najiuliz kabisa. Mtu ambaye una elimu nzuri,unajiweza kipesa,kiakili upo timamu.unaweza sema kabisa wewe ni mfuasi wa zitto kabwe?au kigwangala?au kibajaji?

Naamini watanzania wengi wana matatizo ya kiakili yanayosababishwa na umaskini. Zitto wa leo siyo Zitto wa jana. Na Zitto wa Kesho sito Zitto wa Leo.View attachment 1342330View attachment 1342330
Kama watu wanaweza kuwa wafuasi wa yule aliyesema chukari ilikuwa 5000. Itashindikana vipi kuwa fan wa zitto.

NB wanasiasa wote uongo upo kwenye damu zao kwa 100%
 
Compaign zikianza tunataka kusikia yafuatayo
1. Mawazo aliuwawa nanani nakwanini hakuna anayeshikiliwa au kuhojiwa tu mpaka leo.
2. Tundu Lisu alipigwa risasi hadharani akiwa kazini akaomba apatiwe huduma za matibabu. Mkamnyima na kumfukuza ubunge
3. Azory Gwanda yuko wapi
4. Ben Sanane yuko wapi
5. Akwilini aliuwawa nanani
6. Kwanini wanafungwa jela Ni viongozi wa chadema tu
7. Kwanini kila kitu kinapelekwa chato
8. Kwanini ajira hakuna tangu kuondoka kikwete
9. Mishahara na kupanda madaraja kwa wafanyakazi hakuna
10. CAG kwanini aliondolewa

Hiyo hapo wananchi tupewe majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom