Ushahidi huu unathibitisha Yesu ni Mungu

1. Yesu alikufa siku Tatu.. Mungu alikufa siku Tatu.
2. Akiwa msalabani akalia yelling yelling yeloi mbona umeniacha ....
3. Yesu alisulubiwa (ko tuseme waisrael walimsurubu Mungu ??
4. Ko tuseme Mungu alijituma duniani
5. Yesu anasema yeye ni mwana. K u amanisha Mungu Ana baba ??

6. Wewe ungekua Mungu ungeweza kuzaliwa kupitia kiumbe umekiumba ??
Wewe una akili sana
 
Kwanini Mungu asiwe mama au baba yako awe yesu jitu tu la kuletewa hauna vinasaba nalo?
 
Ndio maana nipo kwenye madai ya PhD, nimegundua waungwana hata dini yenyewe hawaielewi, ni tangu lini, poem ikapewa tafsiri ya Moja Kwa Moja kama sio ugonjwa wa akili,

Wachagga na wahaya walipokosea ni kutohoa neno christ kuwa kristo, hapan waliua maana ya neno christ Kwa kuchagua kuimba kristo

Christ ni sifa ambazo anakuwa nazo mtu, ideal, compassion humility redemption salvation na truth(dharma Kwa budha), badala ya kuipa Christ maana ya kiswahili tukachagua kuimba ndio maana mapepo Kwa watu hayaishi, wamekaa wanamsubiri mtu aliyepaa arudi,

Msisahau man is ideal,
Man is not real,
It is the body that is real,

Na ndio imekuwa kazi ya watu wa Imani kuchonga mtu kutokana na mapenzi ya Mungu neno, mwanzo alianza mtu Adam hatimae Leo tumefika Kwa mtu Christ hapo katikati wamepita watu wengi,

Noah- noble man
Abraham- man of people
Isack- mtu kazi
Nk

Mbona God ilitafsiriwa vizuri tuu kuwa Mungu, japo Mungu wa kiswahili hana ndoto
G- Great
o- power
d- dream

Kwa kiswahili
Mu- Mkuu,
ngu- nguvu
Na badala ya mkuu ilipaswa kuwa ukuu ili neno libaki kuwa neno, lakini Leo utawasikia waswahili wakiimba Mungu ni Mkuu, wamempa Mungu utu

Ni mara mia ya mchawi aliyechagua kupaa na Ungo
U- Ukuu
ng- nguvu
o- ndoto

Ndugu watanzania haya ni maneno, na yanawahusu ninyi watu, man is ideal, man is not real, ndio maana waswahili hutamba kuwa mtu atabadilika tuu, mwili ukibadilika basi ujue unaumwa

Ni kama Plato alivyotuachia neno Gap- Guardian auxiliary producer.

Ukimuona yesu au Mungu kama mtu nje ya mwili wako basi ujue una mapepo,

Jesus ni mfano tuu wa Christ man kutoka Kwa watu wa theolojia na falsafa, japo hizi sifa asili yake ni utumwa,

Christ man was born when Jewish were enslaved by Romans,
Nyani anapaa mbinguni kufata Nini?
Wanangu tupo kwenye pori kubwa, na sisi ni wanyama kama alivyo simba na swala, tofauti ni hii ya kutembea na miguu miwili, ndio inazaa story na mapepo yasiyo na mwisho, kwakua mwili umeondoka kwenye asili yake ya mwanzo, ni lini uliwahi kusikia simba analalamikia maumivu ya mgongo, au anazaa kiumbe kinachohitaji kuzingushiwa matambara

Man is plastic, sisi ni wanyama tuliosahau tulipotoka, mtu(ideal) ndio anaumbwa na mungu(ideal) sio mwili, huu mwili unatoka kwenye asili, na asili tafsiri yake ni njama(nature is hostile)
 
Yesu Kristo ni Mungu wa kweli mimi ninao ushahidi wa kutosha zaidi ya maandiko.
Kwahiyo Mungu ana nafasi 3 na 1 ni dhaifu,
Katika Kutoka 20:3 inasema:
"Usiwe na miungu mingine ila mimi." (Biblia Habari Njema)

Katika tafsiri nyingine ya King James inasema:
"Thou shalt have no other gods before me."
Ukidai Yesu ni Mungu katika Utatu unakuwa mshirikina maana itakuwa Mungu alipungukiwa na nafasi 1 akabakiwa na mbili na hilo kwa Mungu ni Ushirikina.

Mjibu na hili hamis77 Setfree karibuni watumishi.
 
Ushahidi huu unathibitisha Yesu ni Mungu
Jibu hili kwanza 👇🏽
Je Mungu ana nafasi 3 na 1 ni dhaifu,
Katika Kutoka 20:3 inasema:
"Usiwe na miungu mingine ila mimi." (Biblia Habari Njema)

Katika tafsiri nyingine ya King James inasema:
"Thou shalt have no other gods before me."
Ukidai Yesu ni Mungu katika Utatu unakuwa mshirikina maana itakuwa Mungu alipungukiwa na nafasi 1 akabakiwa na mbili na hilo kwa Mungu ni Ushirikina.
 
Ndio maana nipo kwenye madai ya PhD, nimegundua waungwana hata dini yenyewe hawaielewi, ni tangu lini, poem ikapewa tafsiri ya Moja Kwa Moja kama sio ugonjwa wa akili,

Wachagga na wahaya walipokosea ni kutohoa neno christ kuwa kristo, hapan waliua maana ya neno christ Kwa kuchagua kuimba kristo

Christ ni sifa ambazo anakuwa nazo mtu, ideal, compassion humility redemption salvation na truth(dharma Kwa budha), badala ya kuipa Christ maana ya kiswahili tukachagua kuimba ndio maana mapepo Kwa watu hayaishi, wamekaa wanamsubiri mtu aliyepaa arudi,

Msisahau man is ideal,
Man is not real,
It is the body that is real,

Na ndio imekuwa kazi ya watu wa Imani kuchonga mtu kutokana na mapenzi ya Mungu neno, mwanzo alianza mtu Adam hatimae Leo tumefika Kwa mtu Christ hapo katikati wamepita watu wengi,

Noah- noble man
Abraham- man of people
Isack- mtu kazi
Nk

Mbona God ilitafsiriwa vizuri tuu kuwa Mungu, japo Mungu wa kiswahili hana ndoto
G- Great
o- power
d- dream

Kwa kiswahili
Mu- Mkuu,
ngu- nguvu
Na badala ya mkuu ilipaswa kuwa ukuu ili neno libaki kuwa neno, lakini Leo utawasikia waswahili wakiimba Mungu ni Mkuu, wamempa Mungu utu

Ni mara mia ya mchawi aliyechagua kupaa na Ungo
U- Ukuu
ng- nguvu
o- ndoto

Ndugu watanzania haya ni maneno, na yanawahusu ninyi watu, man is ideal, man is not real, ndio maana waswahili hutamba kuwa mtu atabadilika tuu, mwili ukibadilika basi ujue unaumwa

Ni kama Plato alivyotuachia neno Gap- Guardian auxiliary producer.

Ukimuona yesu au Mungu kama mtu nje ya mwili wako basi ujue una mapepo,

Jesus ni mfano tuu wa Christ man kutoka Kwa watu wa theolojia na falsafa, japo hizi sifa asili yake ni utumwa,

Christ man was born when Jewish were enslaved by Romans,
Nyani anapaa mbinguni kufata Nini?
Wanangu tupo kwenye pori kubwa, na sisi ni wanyama kama alivyo simba na swala, tofauti ni hii ya kutembea na miguu miwili, ndio inazaa story na mapepo yasiyo na mwisho, kwakua mwili umeondoka kwenye asili yake ya mwanzo, ni lini uliwahi kusikia simba analalamikia maumivu ya mgongo, au anazaa kiumbe kinachohitaji kuzingushiwa matambara

Man is plastic, sisi ni wanyama tuliosahau tulipotoka, mtu(ideal) ndio anaumbwa na mungu(ideal) sio mwili, huu mwili unatoka kwenye asili, na asili tafsiri yake ni njama(nature is hostile)
Hmm critical thinking, hii ni philosophy?
 
Kila mtu ataubeba msalaba wake bwana, kila nafsi ipambanie kweli inayotaka kuisikia, wameshasikia, wameona ila hawataki tu! unaelimisha wasiotaka kuelewa🙌🏾
 
Habari wanajamii,

Nilicho na uhakika ni hiki...

Picha ya 'yesu' iliyoletwa na mkoloni na bado nyingi zaning'inia makanisani na majumbani ni ya kitapeli...
Ni picha ya jomba la Kadinali alieitwa Borgia... tena lijamaa pichani lilikuwa balaa madhambi kikapu tele. Ukitaka kutambua shetani alituingilia wapi, ilikuwa ndani ya dini yenyewe. Kaiteka, kaichuja, kaingiza vyake - binadamu wengi tumeingia mkenge, hata walokole kabambe.

Kitabu cha Ufunuo, Yohana alituambia sura na muonekano wa Yesu (Yahusha), ila wakufunzi wa dini hawasisitizi ama hawajui, vile wamefundishwa dini na seminary za alieiteka dini - shetani.

Yahusha (Yesu) ni wa rangi yetu sisi watu weusi, sio yule feki mapichani.
 
Embu leta ushahidi ambapo unaeleza mungu kasema yesu ni mwanae wa kumzaa
 
Back
Top Bottom