yesu ni mungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania YESU ni MUNGU (Isaya 9:6)

    Kamata Biblia yako takatifu turejee utabiri wa nabii Isaya katika Isaya 9:6 Katika Isaya 9:6, neno la Mungu linasema; "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto wa kiume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, Baba wa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumaliza mahubiri Mchungaji kuagfiza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ?

    Mchungaji kuuliza wanaoamini kuwa Yesu ni Mungu wasimame juu, je ni sahihi kiroho ? Wadau hili ni kwenye Ibada ya. Sabato Kanisa la Wasabato Salasala SDA wiki mbili zimeisha Kwenye Ibada hiyo somo Mkuu ni kuwa Yesu ni Mungu Mkuu bila kujali kama...
  3. Setfree

    JamiiForums Tanzania Yesu ni Mungu: Amesema Yeye Pekee Ndiye Njia ya Kutupeleka Mbinguni. Wanaopita Njia Nyingine Wanaenda Upotevuni

    Yesu alisema wazi kwamba Yeye ni Mungu: “Mimi na Baba tu umoja” (Yohana 10:30), na pia: “Yeye aliyeniona mimi amemwona Baba” (Yohana 14:9). Haya siyo maneno ya nabii wa kawaida, bali ya Mungu mwenyewe aliyefanyika mwili na kukaa nasi(Mathayo 1:23). Sasa katika Yohana 14:6, Yesu anasema kwa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Utatu ni wa majukumu si mamlaka. Yesu ni Mungu lakini si Mkuu kuliko Baba

    Habari zenu wakuu - Nitatoa ufafanuzi kama kichwa kinavyoeleza, Hizi hoja zote ni matokeo ya uchambuzi wangu wa kina wa biblia: NInakubaliana na fumbo la utatu wa Mungu - Baba, Mwana na Roho lakini katika mtizamo wa kimajukumu na siyo Mamlaka. Tuweke theology pembeni kisha tujadili neno...
  5. Magodi Katuni

    JamiiForums Tanzania Kim Younhoon ndio mtu mwenye akili kubwa kuliko wote duniani, amesema Yesu ni Mungu

    Kim YoungHoon, raia wa Korea Kusini na mbeba rekodi ya IQ (kipimo cha akili) cha juu zaidi duniani, amevunja ukimya na kugonga vichwa vya habari kwa ujumbe mzito wa kiimani. Kupitia ukurasa wake wa X, alitweet: “As the world’s highest IQ record holder, I believe that Jesus Christ is God, the way...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ushahidi huu unathibitisha Yesu ni Mungu

    Mungu ametufunulia kila kitu ndani ya biblia takatifu, naomba fungua kitabu chako cha mwanzo hapo ndipo tunaanza kupata siri za Mungu: Mwanzo 1:26 Kisha Mungu akasema, “Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na dunia yote...
  7. Oppo A17k

    JamiiForums Tanzania Yesu ni Mungu. Kwanini alijalibiwa na kiumbe alichokiumba (shetani) Huoni kama alionyesha udhaifu wake?

    1.Kama wewe ni mwana wa Mungu geuza jiwe kuwa mkate 2. Ukinisujudia nitakupa mali zote za ulimwengu Mali zote ni za Mungu kwani Shetani ampe Mungu ahadi na masharti yote hayo?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yesu ni Mungu hilo halina ubishi

    Inakuwaje wanajamvi! Yesu mtu wangu wa nguvu wewe ni Mungu hilo halipingiki shikilia hapo hapo mwanangu tulio wengi tuko nyuma yako. Tunakupenda na kamwe hatutaacha kukuabudu. JESUS FIRST JESUS FOREVER JESUS IS GOD HUNIAMBII KITU KUHUSU YESU
Back
Top Bottom